Vituko Maishani na Demiss: Mbinu tuliyotumia kuiba sadaka Kanisani

Zile noti za zamani
Umeshaambiwa akiwa form 3 mwaka 201 ... Halafu unamuuliza zile not I za zamani tena???Jamani mbona unataka kumzeesha mtoto wa watu??yaani hapo nashindwa tu kumalizia kuwa 2015 akiwa form 3.
Hahahahaha aisee Demiss kuanzia kesho naomba shikamoo yangu.
 
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Ungetumia ata Rada ya bomberdier (Jiwe) baada ya wiki tatu ungeanza kumtemesha mate na kumlisha Ndimu za kutosha.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
wap unapikia nije Kula chakul chako demis
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Demiss wewe umeiba mpaka kanisani Mungu akusamehe jamani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…