D
Deleted member 485868
Guest
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] demis wewe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Poa demisiUkifika wewe niambie
Nalikumbuka swali kwenye mafundisho yangu ya ndoa, nadhani miaka ya 80's naaa....Chuchu konzi
Nimeelewa ulichokiandika ingawa nimecheka sanaNalikumbuka swali kwenye mafundisho yangu ya ndoa, nadhani miaka ya 80's naaa....
Niliulizwa
Unampendea nini huyu binti??
Nikakutupuka kuanza kumpamba,
Chuchu nzuri
Kibinyiko ya kubwa
Sura kama mtoto
Kigori wa mkoa wetu
Mchapa kazi
Ngozi nyororoo..
Na.......
Kabla sijamaliza aseee nilikatizwa kwa karipio kali, mpaka na mwenzangu akashtuka na wakati mwanzoni alikuwa akitabasam navotiririka aseee.
Nilikuja kuulizwa
Hivi unakula kiapo cha maisha au cha uzinzi,??
Nikajibu. Cha maisha
Hapo pia ilionekana nimekosea
Nikaomba ufafanuzi.
Nilifafanuliwa hivi....
Chuchu nzuri (chuchu konzi) kama ilivyo leo.
Je siku ukibahatika kupata mtoto/watoto wakayanyonya takalala na kuwa kama kandambili zivaliwazo na familia tatu utamwacha?? Asee hapo nilishtuka
Kibinyiko ya kubwa.
Huyu anaweza zeeka na kibinyiko ikaonekana mzigo kwani itatepeta na zingine hupotea kabisaa, je utamwacha? Nilikodoa macho usema ukweli.
Sura kama mtoto
Huyu anakua na ngozi inakomaa
Je atakapokuwa na ngozi kujikunja utamwacha?? Nilishtuka mnoo na mapigo ya moyo yakaniruka aseee
Kigori wa mkoa wetu
Inaonekana hujatembea mkoa mzima pengine nchi nzima na wala dunia nzima, ukipata nafasi hiyo ya kuzurula kila utakapo pita utapita unaoa mzuri wa mkoa?? Na je!! Ni lini umesikia mribwende wa taifa au dunia kajirudia?? Hapa nilikaa kimya kwa aibu.
Mchapa kazi
Kama ikitokea akapata ukilema na akawa mtegemezi wako katika maisha yake yooote japo hatuombei hili ukizingatia dunia hii hujafa hujaumbika utamwacha??
Nilikaa kimya kama nimefumaniwa vile.
Ngozi nyororo
Hapa nilikoswa kofi kabisaa, kwani nilikuwa kama mtoto nisiejua mabadiliko ya mwili, kipindi hicho babu na bibi walikuwepo hai bado, akaniuliza hivi ngozi ya bibi yako unaionaje?? Ni nyororo?
Nilijibu nikiinamisha kichwa kisha nikasema hapana,
Nikaulizwa tena je babu yako angeyachagua haya unayochagua leo kwa umpendae wangekuwa bado wako wote??
Baada ya mambo hayooo yoooooote nilikuja kugundua kuwa mwanamke hasa mke umvhaguaye leo ni tofauti na umuwaziayo leo.
Kuna vingi vijana wa siku hizi mnavyokosa wakati wa kuweka vigezo vya kuoa au kuolewa.
Usije ukawa wale akina dada wajivuniao maumbo na mionekano yao ya leo, wanasahau yakuwa maisha ni kama siku.
Inavipindi vinne tuu
1. Asubuhi.
2. Mchana
3. Jioni na
4. Usiku.
Kila kipindi kinamaana kubwa sana katika maisha ya binadamu awaye yeyote
hapn ni mwaka 201 bnaUmeshaambiwa akiwa form 3 mwaka 201 ... Halafu unamuuliza zile not I za zamani tena???Jamani mbona unataka kumzeesha mtoto wa watu??yaani hapo nashindwa tu kumalizia kuwa 2015 akiwa form 3.
Hahahahaha aisee Demiss kuanzia kesho naomba shikamoo yangu.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mi niliiba kichupa cha mfanya mazingaombwe, kumbe kilikuwa Na majini ndani......
Just kidding
Ngoja nitokwe tu udenda maana nguvu ya tunguli sitaisahau....Mtoto mbichiii
Khaa, umenielewa eti[emoji23] [emoji23] [emoji23]Nimeelewa ulichokiandika ingawa nimecheka sana
Nimekuelewa muhengaNalikumbuka swali kwenye mafundisho yangu ya ndoa, nadhani miaka ya 80's naaa....
Niliulizwa
Unampendea nini huyu binti??
Nikakutupuka kuanza kumpamba,
Chuchu nzuri
Kibinyiko ya kubwa
Sura kama mtoto
Kigori wa mkoa wetu
Mchapa kazi
Ngozi nyororoo..
Na.......
Kabla sijamaliza aseee nilikatizwa kwa karipio kali, mpaka na mwenzangu akashtuka na wakati mwanzoni alikuwa akitabasam navotiririka aseee.
Nilikuja kuulizwa
Hivi unakula kiapo cha maisha au cha uzinzi,??
Nikajibu. Cha maisha
Hapo pia ilionekana nimekosea
Nikaomba ufafanuzi.
Nilifafanuliwa hivi....
Chuchu nzuri (chuchu konzi) kama ilivyo leo.
Je siku ukibahatika kupata mtoto/watoto wakayanyonya takalala na kuwa kama kandambili zivaliwazo na familia tatu utamwacha?? Asee hapo nilishtuka
Kibinyiko ya kubwa.
Huyu anaweza zeeka na kibinyiko ikaonekana mzigo kwani itatepeta na zingine hupotea kabisaa, je utamwacha? Nilikodoa macho usema ukweli.
Sura kama mtoto
Huyu anakua na ngozi inakomaa
Je atakapokuwa na ngozi kujikunja utamwacha?? Nilishtuka mnoo na mapigo ya moyo yakaniruka aseee
Kigori wa mkoa wetu
Inaonekana hujatembea mkoa mzima pengine nchi nzima na wala dunia nzima, ukipata nafasi hiyo ya kuzurula kila utakapo pita utapita unaoa mzuri wa mkoa?? Na je!! Ni lini umesikia mribwende wa taifa au dunia kajirudia?? Hapa nilikaa kimya kwa aibu.
Mchapa kazi
Kama ikitokea akapata ukilema na akawa mtegemezi wako katika maisha yake yooote japo hatuombei hili ukizingatia dunia hii hujafa hujaumbika utamwacha??
Nilikaa kimya kama nimefumaniwa vile.
Ngozi nyororo
Hapa nilikoswa kofi kabisaa, kwani nilikuwa kama mtoto nisiejua mabadiliko ya mwili, kipindi hicho babu na bibi walikuwepo hai bado, akaniuliza hivi ngozi ya bibi yako unaionaje?? Ni nyororo?
Nilijibu nikiinamisha kichwa kisha nikasema hapana,
Nikaulizwa tena je babu yako angeyachagua haya unayochagua leo kwa umpendae wangekuwa bado wako wote??
Baada ya mambo hayooo yoooooote nilikuja kugundua kuwa mwanamke hasa mke umvhaguaye leo ni tofauti na umuwaziayo leo.
Kuna vingi vijana wa siku hizi mnavyokosa wakati wa kuweka vigezo vya kuoa au kuolewa.
Usije ukawa wale akina dada wajivuniao maumbo na mionekano yao ya leo, wanasahau yakuwa maisha ni kama siku.
Inavipindi vinne tuu
1. Asubuhi.
2. Mchana
3. Jioni na
4. Usiku.
Kila kipindi kinamaana kubwa sana katika maisha ya binadamu awaye yeyote
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] kumbe wewe ndio ulifanya ad wakaacha kutumia vikapu siku hzi yanatumika masanduku ya mbao tena yenye kitobo kidogo cha kutumbukizia noti ukiwa imeikunja....Kwanza jaman Niliwamiss sana Demiss miye mama ntilieee miyeeee .
Kabla ya yote shukrani kwa member hawa Mwifwa Zero IQ Samweli faraj mmepambana sana kunirudisha jf mungu awabariki sana japo najua wengi wanataman kujua kwann nilipotea ila mambo mengine ni vyema kukaa kimya ili maisha yaendelee bila hivyo tutaonana wa ajabu bure.
Leo wacha niwape kituko kimoja ambacho mpaka leo najiuliza yawezekana nisingekuwa mama ntilie ningekuwa gereza la keko.
Nakumbuka nikiwa form 3 mwaka 201- ktk shule moja Dar nilikuwa na rafiki yangu Apple tumekaa tunawaza wapi tupate pocket money kwa ajili ya kula kachori canteen.
Aisee nikawa nimepata wazo la kuiba sadaka kanisani Mungu anisamehe tu kwa kweli.
Shule niliyosoma mm siku ya Jumapili tulikuwa tunaruhusiwa kutoka nje ya Shule kwenda kusali kanisani kila jumapili.
Siku ya tukio ikafika mimi na Apple tumeshapanga mpango wa jinsi ya kwenda kuiba sadaka kanisani tukaamka mapema tukavaa nguo haoo asubuhi tukatoka kuelekea kanisani tukawahi nafasi zetu kusubiria muda wa mashambulizi.
Hatimaye muda ukawadia wa kutoa sadaka na unajua makanisa makubwa watu huwa wanatoa elf 10 kama sadaka hapo sasa tukasema sisi tutakuwa wa mwisho.
Unajua kwanini?
Watu wanavyotoa sadaka huwa wanakunja mikono kama ngumi[emoji109][emoji109] na ndani yake kunakuwa na pesaa.
Na makanisa mengi wanaweka vikapu na kuvifunika na kitambaa hivyo unaingiza mkono unaweka hela ndani ya kikapu.
Baada ya watu kupungua mimi na Apple tukainuka tukiwa tumekunja mikono yetu kama ngumi[emoji109][emoji109]ikiwa haina kitu mpaka kwenye kapu la sadaka.
Nilivyofika pale nikadumbukiza mkono na kuokota hela yani unacheza Biko hujui unaokota sh ngap?
Nikatoa mkono nikiwa nimekunja ngumi vile vile ndani kuna hela nimeshaichukua nikarudi mpaka kwenye kiti changu nikafungua kipochi changu nikaidumbukiza laahaulaa!!nikaona kitu cha msimbazi elf 10.
Muda kidogo Apple naye akafika akachukua pochi yake akadumbukiza mkono kumbe alichukua hela mbili moja elf 5 nyingine elf 2 .
Tulivyotoka kanisani tukasema mungu tusamehe hatukuwa na jinsi.
Najua wengi mtashangaa sana ila ilikuwa ni mojawapo ya maisha ambayo ni lazima ningepitia ili nifike hapa nilipo wengi wameshaiba ila wanaona aibu kusimulia mimi sinaga aibu huwa nasema tu si yalishapita bhn au?
Mama ntilie Demiss.
UmetishaaaaNalikumbuka swali kwenye mafundisho yangu ya ndoa, nadhani miaka ya 80's naaa....
Niliulizwa
Unampendea nini huyu binti??
Nikakutupuka kuanza kumpamba,
Chuchu nzuri
Kibinyiko ya kubwa
Sura kama mtoto
Kigori wa mkoa wetu
Mchapa kazi
Ngozi nyororoo..
Na.......
Kabla sijamaliza aseee nilikatizwa kwa karipio kali, mpaka na mwenzangu akashtuka na wakati mwanzoni alikuwa akitabasam navotiririka aseee.
Nilikuja kuulizwa
Hivi unakula kiapo cha maisha au cha uzinzi,??
Nikajibu. Cha maisha
Hapo pia ilionekana nimekosea
Nikaomba ufafanuzi.
Nilifafanuliwa hivi....
Chuchu nzuri (chuchu konzi) kama ilivyo leo.
Je siku ukibahatika kupata mtoto/watoto wakayanyonya takalala na kuwa kama kandambili zivaliwazo na familia tatu utamwacha?? Asee hapo nilishtuka
Kibinyiko ya kubwa.
Huyu anaweza zeeka na kibinyiko ikaonekana mzigo kwani itatepeta na zingine hupotea kabisaa, je utamwacha? Nilikodoa macho usema ukweli.
Sura kama mtoto
Huyu anakua na ngozi inakomaa
Je atakapokuwa na ngozi kujikunja utamwacha?? Nilishtuka mnoo na mapigo ya moyo yakaniruka aseee
Kigori wa mkoa wetu
Inaonekana hujatembea mkoa mzima pengine nchi nzima na wala dunia nzima, ukipata nafasi hiyo ya kuzurula kila utakapo pita utapita unaoa mzuri wa mkoa?? Na je!! Ni lini umesikia mribwende wa taifa au dunia kajirudia?? Hapa nilikaa kimya kwa aibu.
Mchapa kazi
Kama ikitokea akapata ukilema na akawa mtegemezi wako katika maisha yake yooote japo hatuombei hili ukizingatia dunia hii hujafa hujaumbika utamwacha??
Nilikaa kimya kama nimefumaniwa vile.
Ngozi nyororo
Hapa nilikoswa kofi kabisaa, kwani nilikuwa kama mtoto nisiejua mabadiliko ya mwili, kipindi hicho babu na bibi walikuwepo hai bado, akaniuliza hivi ngozi ya bibi yako unaionaje?? Ni nyororo?
Nilijibu nikiinamisha kichwa kisha nikasema hapana,
Nikaulizwa tena je babu yako angeyachagua haya unayochagua leo kwa umpendae wangekuwa bado wako wote??
Baada ya mambo hayooo yoooooote nilikuja kugundua kuwa mwanamke hasa mke umvhaguaye leo ni tofauti na umuwaziayo leo.
Kuna vingi vijana wa siku hizi mnavyokosa wakati wa kuweka vigezo vya kuoa au kuolewa.
Usije ukawa wale akina dada wajivuniao maumbo na mionekano yao ya leo, wanasahau yakuwa maisha ni kama siku.
Inavipindi vinne tuu
1. Asubuhi.
2. Mchana
3. Jioni na
4. Usiku.
Kila kipindi kinamaana kubwa sana katika maisha ya binadamu awaye yeyote
Hahahaha,povu jamaaa katoaaTuko chitchat tu mkuu punguza jazba
Hahahahah umeooonaa eeeh wanajua kama kuna wiziii[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] kumbe wewe ndio ulifanya ad wakaacha kutumia vikapu siku hzi yanatumika masanduku ya mbao tena yenye kitobo kidogo cha kutumbukizia noti ukiwa imeikunja....
Wale wazee wa kutoa silver kanisani tunapata shida maana ukidumbukiza lazima kanisa nzima lisikie[emoji26] [emoji26] [emoji26]