Vituko Maishani na Demiss: Mbinu tuliyotumia kuiba sadaka Kanisani

Vituko Maishani na Demiss: Mbinu tuliyotumia kuiba sadaka Kanisani

Hahaha bahati yako mimi kanisan ni shhemasi uwa ninasimamia makapu ya sadaka ....na uwo mchezo ninaujua hadi wengine wanaweka mawe.....basi mm uwa ninamkodolea mimacho kila anaekuja kutoa sadaka na wanaocheza rafu kama yakwako na kuweka mawe nilishawadaka wengi sana .....uwa ninacheza nao baada ya ibada kuisha ninawasubiria mlangon ...wengi tulishawafungia stooo ya kanisa kw8a masaaa hadi jion ndio tunawaachilia wengi awarudi wanapaona kituo cha police kanisan kwetu
Nashukuru kwa kusema ukweli kwamba huuu mchezo upo sana ndo maana yameletwa masanduku ya Chuma

Ila hapo kwenye kukodoa macho nimecheka sana
 
Umeshaambiwa akiwa form 3 mwaka 201 ... Halafu unamuuliza zile not I za zamani tena???Jamani mbona unataka kumzeesha mtoto wa watu??yaani hapo nashindwa tu kumalizia kuwa 2015 akiwa form 3.
Hahahahaha aisee Demiss kuanzia kesho naomba shikamoo yangu.
Shikamoo kaka jaman weeeeh usinizeeshe
 
Back
Top Bottom