Vituko Maishani na Demiss: Mbinu tuliyotumia kuiba sadaka Kanisani

Vituko Maishani na Demiss: Mbinu tuliyotumia kuiba sadaka Kanisani

Mmh!. Shame on U
Unajivunia kuiba zaka kanisani?!
Unakiri kuzidiwa nguvu Na ibilisi?

Ungetubia dhambi zako kuliko kuwapa mbinu vibaka nao wajaribu
Kuiba popote ni dhambi yenye uzito sawa na Watanzania 99.99 ni wezi tu sema twatofautiana mazingira, escrow, EPA, 10% ya mikataba, manunuzi kazini, ulanguzi wa kuongeza bei kwa madalali nk
 
Mshaanza kuhukumu, hajajivunia, amefanya confession, sasa nyie mnaojidai mna haki mmeanza kuhukumu, na yeye keshatubu, wewe unaanza kujotengenezea dhambi kwa kuhukumu, na mijitu kama nyie mnakuwa watenda dhambi kama kawaida..... hakuna aliyekamilika ila Mungu peke yake!
Hata yeye ni mwizi tu kasoro tofauti ya mazingira
 
Kuiba popote ni dhambi yenye uzito sawa na Watanzania 99.99 ni wezi tu sema twatofautiana mazingira, escrow, EPA, 10% ya mikataba, manunuzi kazini, ulanguzi wa kuongeza bei kwa madalali nk
Kweli cha muhimu mm nilishatubuu
 
Back
Top Bottom