Vituko mbalimbali vya wauza nyama

Vituko mbalimbali vya wauza nyama

monde arabe

JF-Expert Member
Joined
Oct 22, 2017
Posts
8,781
Reaction score
13,444
Habar za leo wanajukwaa,

Straight 4ward to the topic; naomba leo tufanye ku-share tabia au vituko vya wauza nyama wote Tanzania nzima...,lkn mm nitaelezea vituko vya wauza nyama wa Dar kwa kuwa nawafaham vizuri na nilishawahi kufanya kazi ya kuuza nyama kwa nyakati tofauti tofauti ( hasa fillet,nilikuwa nakusanya fillet kwenye makalo ya mazizini,bucha za Buguruni sokoni, makalo ya Tegeta, Bucha za Manzese, Mbezi Louis na Bucha za Kibamba CCM... Na mizunguko yote hyo nilikuwa nikiifanya ndani ya siku moja so,hawa wauza nyama wa Dsm nawafaham vzur sana) hizi ndzo Tabia/vituko vyao;

1. Matusi kwao ni sehemu ya mawasiliano,kwa mfano siku moja nikiwa nimeenda mahali kukusanya fillet kuna Mzee alikuwa anapiga story na vijana na akaulizwa na hao vjana "Mzee una mke?"...." aliwajibu "Sasa kama sina mke huwa namt*mb* nani"
Kiukweli hawa majamaa wanapenda sana matusi na huwa hawatumii lugha ya kistaarabu

2. Ni wazinzi kupindukia, wao hawabagui awe ni mke wa mtu, house girl, Binti, Mama mtu mzima au Kikongwe akilegeza lazma mpira uingie kwenye nyavu...daima usije mtambulisha ndguyo wa kike au mkeo kwa muuza nyama...,wao hawana ushemeji wanakulaga

3. Hawaheshimu vitu vya watu kama vile fedha,mfano muuza nyama akiuza buchani kwako na ukimwambia "nenda ukalale na mauzo utaniletea kesho" ataenda kunywea fedha (mauzo) zote na kesho ukimdai atakuwa mkali kama shoka ya kukatia nyama

4. Hawana nyuso zenye aibu (hawana staha),mfano unaweza kumkamata ugoni kwa mkeo akakukimbia lkn kesho atakuja kuomba kazi ya kuuza bucha tena kwa matusi na hawana neno 'nisamehe'

5. Ni matepeli na ni wezi waliokubuhu,jiwe la kilo tano lazma lifanyiwe maneuver ili so,kilo zitakazoingia kwenye mfuko wa mteja ni kg 4 badala ya tano hapo ni pamoja na malapulapu

6. Ni walevi sana, wanatumia fedha zote wakiamini kesho watapiga ndonga

7. Baadhi yao wanajipenda sana na wengine ni wachafu sana na wanapenda sana kuvaa viatu vikubwa

8. wengi wao ni wavuta mabangi (Bob Marley sticks) sana
9. Ugomvi wao ni wakukatana na mapanga,na akikukata na panga lazma ufe au upate ulemavu wa kudumu

Wakuu, hizo ndzo tabia za wauza nyama (hasa wa Dar), karibuni sana povu!
 
Hahah aisee kuna jamaa ana bucha wanamuitaga Manyama naona hizo sifa karibu zote zinamuhusu aisee.
 
Hahah aisee kuna jamaa ana bucha wanamuitaga Manyama naona hizo sifa karibu zote zinamuhusu aisee.
Unajua Mkuu jini la Ulaya na Afrika yote ni majini japo yanapatkana kwenye mabara tofauti!
 
Unajua Mkuu jini la Ulaya na Afrika yote ni majini japo yanapatkana kwenye mabara tofauti!
Hahah kweli mkuu.Vp habari ya kutumia dawa ya maiti kwenyr nyama ili zisiharibike mkuu.
 
Hii ya kutumia dawa ya maiti kwenye nyama.Kuna ukweli mkubwa sana ndani yake.Hebu tujiulize,BUTCHER NYINGI HUWA HAZINA MAJOKOFU YA KUHIFADHIA NYAMA.NA MPAKA MUDA WA KUFUNGA UNAKUTA NYAMA NYINGI TU IMEBAKI.JE,HUWA WANAIHIFADHI VIPI?
 
Duuu
 
Usipokuta nzi usinunue
 
Hawatumii dawa za maiti...,bucha ikisafishwa vzur inzi hawaingii!
 
Ili kumsogeza karibu yao msichana wa kazi au mwanamke yeyote wamtakae kila siku ataongezewa nyama na kukatiwa katiwa vizuri. Atapimiwa nyama nzuri kabisa.
 
hahahah, Geita kuna mchaga alikuwa anauza supu kumbe ni ya mbwa, yaani watu walikuwa wanajaa kweli. Siku walivyogundua walidunda kweli. hahahaha
Weeee...mbona unanitisha sasa tena nilivyo mpenzi wa supu...duuh
 
Hawatumii dawa za maiti...,bucha ikisafishwa vzur inzi hawaingii!
Nimezunguka haya machinjio na makaro natafuta pembe za ng'ombe ila nimegundua jamaa wanapenda utapeli utapeli sana.
Bangi wanavuta bila kujificha
 
Nimezunguka haya machinjio na makaro natafuta pembe za ng'ombe ila nimegundua jamaa wanapenda utapeli utapeli sana.
Bangi wanavuta bila kujificha
Mkuu,kama bado unatafuta pembe nenda jirani na lilipo soko LA ndizi Mabibo (angle) then fuata nguzo za Tanesco (nguzo za chuma) utatokezea kwa Wagogo,hapo zipo pembe nyingi sana hata ukienda na lory huwez maliza pembe zote na utapata free of charge!
 
Mkuu zile wanatupa ni makapi
Zile ninazotaka wanauza na wanakuwa na order kabisa

Labda nijaribu msimu huu wa mzee kama mambo yamebadilika.
 
Back
Top Bottom