Kama mtu hujapitia maisha haya hujaenjoy life...uchumba uwakutie humu...mkitoka hapo mnaenda kujenga nyumba ya pamojaπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ
sahihi kabisa, mkifika stage hiyo mahaba yanakuwa mazito kweli ni kuomba mungu penzi lisivuje mpaka mfanikiwe laa sivyo mkitemana utakuwa unalaani sana ukiviona hivyo vimtungi vya gesi vidogodogo πŸ˜‚
 
Kwakweli..πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒenzi zetu mkitoka hy stage ni ndoa..uaminifu ulikuwepo kabla hawa nyaku nyaku wa afu mbili hawajaanza kuota mapembe...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…