Vituko mitandaoni. Tupia chako
2765.jpg
 
Kama mtu hujapitia maisha haya hujaenjoy life...uchumba uwakutie humu...mkitoka hapo mnaenda kujenga nyumba ya pamoja😃😃😃
sahihi kabisa, mkifika stage hiyo mahaba yanakuwa mazito kweli ni kuomba mungu penzi lisivuje mpaka mfanikiwe laa sivyo mkitemana utakuwa unalaani sana ukiviona hivyo vimtungi vya gesi vidogodogo 😂
 
sahihi kabisa, mkifika stage hiyo mahaba yanakuwa mazito kweli ni kuomba mungu penzi lisivuje mpaka mfanikiwe laa sivyo mkitemana utakuwa unalaani sana ukiviona hivyo vimtungi vya gesi vidogodogo 😂
Kwakweli..😃😃😃😃enzi zetu mkitoka hy stage ni ndoa..uaminifu ulikuwepo kabla hawa nyaku nyaku wa afu mbili hawajaanza kuota mapembe...
 
Back
Top Bottom