Kalpana
JF-Expert Member
- Jun 16, 2017
- 32,603
- 62,269
Huko gerezani hapatatosha...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huko gerezani hapatatosha...
Condom haina raha, nikipiga nyeto mnasema nitawabaka basi bora nife kwa ngoma lakini raha ya dunia nimeenjoy
Kama mtu hujapitia maisha haya hujaenjoy life...uchumba uwakutie humu...mkitoka hapo mnaenda kujenga nyumba ya pamoja😃😃😃
sahihi kabisa, mkifika stage hiyo mahaba yanakuwa mazito kweli ni kuomba mungu penzi lisivuje mpaka mfanikiwe laa sivyo mkitemana utakuwa unalaani sana ukiviona hivyo vimtungi vya gesi vidogodogo 😂Kama mtu hujapitia maisha haya hujaenjoy life...uchumba uwakutie humu...mkitoka hapo mnaenda kujenga nyumba ya pamoja😃😃😃
Kwakweli..😃😃😃😃enzi zetu mkitoka hy stage ni ndoa..uaminifu ulikuwepo kabla hawa nyaku nyaku wa afu mbili hawajaanza kuota mapembe...sahihi kabisa, mkifika stage hiyo mahaba yanakuwa mazito kweli ni kuomba mungu penzi lisivuje mpaka mfanikiwe laa sivyo mkitemana utakuwa unalaani sana ukiviona hivyo vimtungi vya gesi vidogodogo 😂