Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 182,097
- 1,099,383
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ah jamani mbona sie tuna furaha mpaka inamwagika au wao furaha wanaipimaje
Muhimu sana hizi
Naunga mkno hoja
=
CHADEMA kanda ya Pwani tutamchagua Boniface Jacob kuwa Mwenyekiti akiwa gerezani au akiwa uraiani. Kanda hii ya kimkakati ndani ya chama chetu inahitaji huduma ya Boniface Jacob kwa ustawi wa chama na kuelekea chaguzi za Serikali za Mitaa na Uchaguzi Mkuu.
=
View attachment 3111751
View attachment 3115845View attachment 3115846View attachment 3115847View attachment 3115956Hii ndio raha ya kuwa na shemeji mjini![]()
-Ndumilakuwili-