Sio miguuni??
Maana bro angu wakati anaelekea kufariki alimwambia mshua anasikia baridi kali sana linapanda kuanzia miguuniπŸ˜‹πŸ˜‹πŸ˜£
Ghafla nimehisi vibaya ulivyo sema, umenifanya nifikirie kuhusu maisha nayoishi hapa duniani. Kuna muda huwa nafikiria, hivi nikifa sijui nitasema nini uko nikienda, namuomba Mungu niweze kuishi kama kusudio lake.
 

View: https://youtube.com/shorts/rBtSnJYaXeE?si=l8HOXkOYB4wx5g1Y
Raha ya Sebene ukibebwa namna hiyo usikilizie kichwa kinavyogonga tumboni....😜.

Na saa ya kumshusha kutoka kichwani upate mirindimo ya nyamanyama zake mikononi mwako...πŸ€ͺπŸ€ͺ

Na wakati umebebwa uipeperushe bendera vizuri hewani ukishikilie kichwa vizuri usijeanguka....πŸ˜‹

Muda wote wa Sebene, stamina na balance ni muhimu ili mmalize pamoja πŸ˜‰.

Msiseme nimeongea tango tata, nimedadavua hiyo video hapo juu 😁.

Na ukiwa unapenda sana kucheza hizo sebene, katu hamuwezi kuwa na kitambi....πŸ˜€.

Pia zingatia kushikilia miguu yake ili uweze kunesanesa vizuri...πŸ˜›πŸ˜›... raha ndani ya rohoo πŸ˜†.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…