Sio miguuni??
Maana bro angu wakati anaelekea kufariki alimwambia mshua anasikia baridi kali sana linapanda kuanzia miguuniπŸ˜‹πŸ˜‹πŸ˜£
Tunafundishwa kuwa mauti inaanzia unyayoni kuelekea kwenye koo😨😨
 
Ghafla nimehisi vibaya ulivyo sema, umenifanya nifikirie kuhusu maisha nayoishi hapa duniani. Kuna muda huwa nafikiria, hivi nikifa sijui nitasema nini uko nikienda, namuomba Mungu niweze kuishi kama kusudio lake.
Fanya ibada, heshimu watu, jiepushe na vitu vya watu.
Maisha yetu hapa Duniani ni mafupi mno, lakini akhera ni yenye kuendeleaπŸ˜‡πŸ˜‡
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…