Vituko mitandaoni. Tupia chako
🙏🏿🙏🏿🙏🏿

IMG-20241210-WA0007.jpg
 
Ghafla nimehisi vibaya ulivyo sema, umenifanya nifikirie kuhusu maisha nayoishi hapa duniani. Kuna muda huwa nafikiria, hivi nikifa sijui nitasema nini uko nikienda, namuomba Mungu niweze kuishi kama kusudio lake.
Fanya ibada, heshimu watu, jiepushe na vitu vya watu.
Maisha yetu hapa Duniani ni mafupi mno, lakini akhera ni yenye kuendelea😇😇
 
Back
Top Bottom