Vituko mitandaoni. Tupia chako
Unajua kazi ya hii sofa ukiikuta hotelini au kwenye lodge zilizochangamka?

IMG_20241212_170417_076.jpg


๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡

IMG_20241212_170427_228.jpg
 
UK sijui lakini nchi za Scandinavia nasikia ni jambo la kawaida...

Au wakati mwingine simu zinakuwa smuggled in hata kama haziruhusiwi - hasa kama adhabu siyo kali sana. Ma Don wanakuwa nazo tu. Mtu anaendesha Cartel akiwa gerezani japo mawasiliano mengi huwa ni kwa njia ya coded language...
Ahaa duh kama ingekuwa bongo sipati picha hayo maselfii
 
Aliyegundua Jรคgermeister mbingu ataisikia kwenye tivii tu. Pombe ya hovyo kabisa yaani. Ndiyo maana hata Labella haifagilii.

Kapigeni Hennessey ndiyo pombe inayopendwa na pisi kali zenye hela kama nyinyi! ๐Ÿƒ๐Ÿฟโ€โ™‚๏ธ๐Ÿƒ๐Ÿฟโ€โ™‚๏ธ๐Ÿƒ๐Ÿฟโ€โ™‚๏ธ
Yaani namwambiaga Labella kila siku hiyo pombe yake nikiiona chupa yake tu nasikia mawenge...๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…sijawahi kuitest ila naiogopa.....mdogo wangu kasema hennessy halewi
 
Back
Top Bottom