Tajiri Sinabay
JF-Expert Member
- Dec 25, 2024
- 1,333
- 3,619
Duh kwani linasikitisha sana?Unaonaje ukibadilisha hiyo ID yako? Kwa nini unajiita Kijana Masikini? Iondoe bana unless kama unaamini kuwa utabakia masikini daima!
Nimeifatilia jf mda mrefu sana kwenye kiswaswadu kinacho aplay operamini huku nikitamani kupata kifaa kitakacho niwezesha kujiunga na jf kwahiyo kwavile umasikini/uchache wa kipato umeniweka kando na jf muda mrefu acha tu nitumie hii ID mkuu.