Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 182,097
- 1,099,383
Ahaa duh kama ingekuwa bongo sipati picha hayo maselfiiUK sijui lakini nchi za Scandinavia nasikia ni jambo la kawaida...
Au wakati mwingine simu zinakuwa smuggled in hata kama haziruhusiwi - hasa kama adhabu siyo kali sana. Ma Don wanakuwa nazo tu. Mtu anaendesha Cartel akiwa gerezani japo mawasiliano mengi huwa ni kwa njia ya coded language...
Unaonaje ukibadilisha hiyo ID yako? Kwa nini unajiita Kijana Masikini? Iondoe bana unless kama unaamini kuwa utabakia masikini daima!Em ngoja kwanza, kwahiyo ulaya wafungwa huwa na simu zao vyumbani?
Ila askari pisi ya kwenda...😅
Yaani namwambiaga Labella kila siku hiyo pombe yake nikiiona chupa yake tu nasikia mawenge...😅😅😅sijawahi kuitest ila naiogopa.....mdogo wangu kasema hennessy halewiAliyegundua Jägermeister mbingu ataisikia kwenye tivii tu. Pombe ya hovyo kabisa yaani. Ndiyo maana hata Labella haifagilii.
Kapigeni Hennessey ndiyo pombe inayopendwa na pisi kali zenye hela kama nyinyi! 🏃🏿♂️🏃🏿♂️🏃🏿♂️