Unaonaje ukibadilisha hiyo ID yako? Kwa nini unajiita Kijana Masikini? Iondoe bana unless kama unaamini kuwa utabakia masikini daima!
Duh kwani linasikitisha sana?
Nimeifatilia jf mda mrefu sana kwenye kiswaswadu kinacho aplay operamini huku nikitamani kupata kifaa kitakacho niwezesha kujiunga na jf kwahiyo kwavile umasikini/uchache wa kipato umeniweka kando na jf muda mrefu acha tu nitumie hii ID mkuu.
 
Ina maana na simu zote hizi za mikopo bado unalalamika mambo ya simu?acha basi🙄🙄🙄fuata ushauri wa kaka
 
Ina maana na simu zote hizi za mikopo bado unalalamika mambo ya simu?acha basi🙄🙄🙄fuata ushauri wa kaka
Unaongea tu kwa vile unaona hivi watu tunavyovimba huku kwenye dunia ya bando hujiwi uhalisia wa memba mmoja mmoja. Hii ID inaakisi uhalisia wa laifu langu jamani.
SIBADILISHII NIUWENII.... NIUWENII.... NIUWENII...🤣🤣🤣
 
Ibadilishe.

Nakusihi sana!

Kamwe usijitamkie mabaya wala kujipa majina yasiyo na mibaraka; na yenye kukata tamaa. Maana ujionavyo ndivyo ulivyo; na ndivyo utakavyokuwa.

Dunia hii ni katili; na hakuna atakayekuhurumia maana maisha yako ni jukumu lako wewe mwenyewe 100%.

Badilisha hilo jina. Wewe si kijana masikini. Jiite hata Kijana Anayejitafuta au Kijana Mpambanaji...

Badilisha mtazamo wako!

Mimi nakataa!

Wewe siyo kijana masikini!
 
Yaani namwambiaga Labella kila siku hiyo pombe yake nikiiona chupa yake tu nasikia mawenge...😅😅😅sijawahi kuitest ila naiogopa.....mdogo wangu kasema hennessy halewi
Jägermeister ukiifakamia bila mpango unaweza kujishushia mzigo. Walevi wengi huwa wanainywa kwa step...

Mwambie kwenye Hennessey adondosheemo vishoti vya Jameson. Dakika 10 hamalizi atakuwa keshawaka! 😁
 
Mkuu acha tu ibaki hivyo hadi pale nitakapopata wazo jipya, ila shukrani kwa ushauri wako kwa sababu umefanya hata niwaze kwamba kuna muda nitalipata hilo wazo jipya lenyewe.
 
Jägermeister ukiifakamia bila mpango unaweza kujishushia mzigo. Walevi wengi huwa wanainywa kwa step...

Mwambie kwenye Hennessey adondosheemo vishoti vya Jameson. Dakika 10 hamalizi atakuwa keshawaka! 😁
Duh naona unazidi kuniweka mbali na jagermeister!😅😅😅😅 Labella njoo kuna mkemia huku katoa formula ya weekend
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…