Vituko mitandaoni. Tupia chako
1738298461579.jpg
 

Mshana, umenichekesha....😂😂😂

Kwenye uhalisia wa maisha hii kitu huwa naifanya sana kwenye vyoo vya jumuiya.

Najua ni tatizo la saikolojia walau ubongo unapata amani kuwa nyash na sambusa viko salama. Na nikimaliza naflash hayo makaratasi yoteee na kuacha hali ya usalama kwa mtumiaji ajaye.

Ila ikitokea umebanwa huo mchakato huwa unafupishwa...😆😆😆

No wonder airport toilets have plenty of toilet papers.

Ila vile vya kuchimba dawa mabasi ya kwenda mkoani huwa namwaga nusu ndoo ya maji hapo naamini usalama upo kisha nachuchumaa kwa amani 😅.

Uzee tabu sana.
 
Back
Top Bottom