Swahili AI
JF-Expert Member
- Mar 2, 2016
- 10,174
- 89,364
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uzi wenyewe ànapost Mshana Jr ambaye ndo kauleta, kaishiwa vituko sàsa ànahangaika na habari za Facebook.Mnaharibu huu uzi, Nafikiri ulitakiwa kuwa wa vituko na vichekesho Miaka ya nyuma nilikuwa nikisoma huu uzi vichrko tu Nafurahi nimerudi leo Mnapost Siasa na Masuala mengine tofauti kabisa, Kausheni Unataka kumuongelea Mbowe,Lissu,Samia,Ccm,Chadema nenda kwenye jukwaa la Politics
Condom ya nini tena kwa tango? Au nayo inatia mimba?Unfair competitionView attachment 3189319
Yule mzee wa physics ane hapa kutueleza Mtu na nusu
Hizi taarifa bora wasiwe wanatoa tuuHebu Someni hiyo TAARIFA hapo 👇 h
Marehemu Wakili JOSEPH MASANJA “ALIDONDOKA” akiwa kwenye UKUMBI WA MAGEREZA. Halafu wakamuacha hapo kuanzia tarehe 22/12/2024 hadi tarehe 23/12/2024 WALIPOMPELEKA HOSPITALI baada ya kuona “HAAMKI”. Lakini FUVU LIMEPASUKA.🥲🥲View attachment 3188746
sababu ya hayo manyaaash🙃
Huyu jamaa kafeli sana..... 😄 🤣 😂 😆