Aaliyyah
JF-Expert Member
- Mar 20, 2022
- 19,041
- 46,239
Kwann awe Hana ela Sasa😀Mbona hamvivunji boyfrend akiwa hana hela?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwann awe Hana ela Sasa😀Mbona hamvivunji boyfrend akiwa hana hela?
Maisha ya kupanda nankushaka ata nyie kuna wakati utamu unakuwa juu na wakati utamu unakuwa chini....ndio life hiloKwann awe Hana ela Sasa😀
Mimi haushuki 😀Maisha ya kupanda nankushaka ata nyie kuna wakati utamu unakuwa juu na wakati utamu unakuwa chini....ndio life hilo
Hamnaga utam wa mwanamke ambao haushuki kama ilivyo uchumi wa mwanaume.Mimi haushuki 😀
Mwanaume ni apambane tatizo lenu mnapenda kulelewa sana sikuhiz hat huwez kujua Hana kweli au anadanganya
Hawa sasa ndio wanawake tunaohitaji...wao wanataka kudinywa genye likimshikaEeeh.....eeeeh......eeeh
Sawa lkn wengi wanataka mwanamke awe na kitu pia hat km ni kidogo ndo maana mkitongoza swali Huwa unajishughulisha na nn mbona hamuuliz mengine km kweli nyie ni wahudumiaji wazuriHamnaga utam wa mwanamke ambao haushuki kama ilivyo uchumi wa mwanaume.
Wee acha kulalamika kuwa wanaume wanapenda kulelewa..wapo wanaume ambao wanataka kulea wanawake kama mke so wee watafute hao ila sasa nawe uwe tayari kwa standards zao
Ah sasa wee tulishakubalina kuanzia 2025 no dating broke ladies.Sawa lkn wengi wanataka mwanamke awe na kitu pia hat km ni kidogo ndo maana mkitongoza swali Huwa unajishughulisha na nn mbona hamuuliz mengine km kweli nyie ni wahudumiaji wazuri
Kwa sababu hawapendi kufanywa Kila siku
Wafungwa wa huko wanaruhusiwa kuwa na vifaa vya kurekodi video? Yaani simu au kamera?
Inasikitisha