Hawanaga mapumziko hao kikilia kipenga ni hadi half time na hakuna kuomba maji eeheheheheee 😂😂😂😂.
Hana mambo mengi, utulize mpira tuu chenga kiasi, danadana kwa mbali, achia mashuti ya kutosha baada ya miezi tisa utakuwa na pacha 4 😅😅😅. Jiandae dakika 90 na za nyongeza, penalti huwa haifiki hawanaga ushindani....🤸🤸🤸🏃🏃🏃🏃.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.