Vituko mitandaoni. Tupia chako
1741041039960.jpg
 
Wee ebu nipigie pande kwa mrembo huyo alafu anaonekana toluuu ndio vitu vyangu hivyo

Mnyamwezi huyo, utawezana naye..???!😅😅😅

Hawanaga mapumziko hao kikilia kipenga ni hadi half time na hakuna kuomba maji eeheheheheee 😂😂😂😂.

Hana mambo mengi, utulize mpira tuu chenga kiasi, danadana kwa mbali, achia mashuti ya kutosha baada ya miezi tisa utakuwa na pacha 4 😅😅😅. Jiandae dakika 90 na za nyongeza, penalti huwa haifiki hawanaga ushindani....🤸🤸🤸🏃🏃🏃🏃.
 
Back
Top Bottom