Mjusi Sharobalo
JF-Expert Member
- Sep 4, 2025
- 8,306
- 14,632
Dunia haikosi vijambo. Jana wakati nipo ndani ya Daladala natoka Kariakoo naelekea Chang'ombe. Gafla hali ya hewa ikabidilika homo ndani, watu wote wakaziba pua na kuanza kujiuliza ni nani amechafua hali ya hewa.
Kunadogo mmoja akalopoka akimnyoshea kidole jamaa mmoja hivi "Yule pale mwamba!' Jamaa mwenyewe anayezungumziwa ni milaba minne.
Jamaa akawaka nusu amsambalatishe dogo wa watu, hali haikuwa hali tena, ilibidi dereva apaki Gari pembeni mtafaluku upite kwanza.
Kwa kuwa ndugu yenu sipendi kuwaficha kitu chochote nimeamuwa kuwapa somo hapa mfahau kuhusu hiki kitu. Ushuzi ni gesi hatari ambayo inaweza kuwasha moto kabisa.
Mwanzo nilikua siamini hadi nilipo fanyia utafiti. Usiniulize nilifanya utafiti kwa njia gani, najua mwenyewe.
Je wewe umewahi kukutana na jambo gani kwenye huu usafiri wetu pendwa wa kila siku?...