Vituko na vioja vya wadada wa benki

Nikutokana na upeo mdogo walio nao shida kubwa wanafikiri wamefika kwa. Take hm ya 770k. Huu ni umasikin unawatesa na wengi wameishia kuchapwa bila kuolewa
 
Inakuwa ngumu kutokana na alie mleta Uwenda yupo ktk management ndio maana kazi huwa kazi kuwashughulikia. Unaweza kuta Huyu ni mpwa wa MD au mtoto wa rafiki wa coo basi hapo panakuwa patamu au mtoto wa manager fulani ndani ya bank na hili ndio chimbuko la madhambi kwa wateja.
 

Unachoeleza wewe ni corporate customer ndio maana unafikia hatua unaacha pesa..vipi yule mteja anayekwenda mara moja baada ya miezi kadhaa..au yule mtumishi wa mshahara wa mwezi hadi mwezi...akienda anachukua pesa yote hata balance hakuna..
Branch nyingi za bank ambazo ukiweka front desk wanaume wote, wanapaform vizuri kulio ile yenye mabinti ..na hata complain za wateja zinakuwa chache sana..
 
Yaani kupata huduma nzuri mpaka ufahamike kwenye bank yako? Naona unaongelea tu upande wako sijui kuwafahamu ma teller mpaka manager so wateja wa siku moja moja hawastahili huduma nzuri? Kumbuka sasa hivi achilia mbali ATM kuna transactions unafanya kwa simbanking, nmb mobile cjui internet banking so unaweza maliza ata mwezi hujakutana na hao wahudumu mtafahamiana lini ili upate huduma nzuri kama unavyojinasibu wewe??
 
Wengi pia wameathirika na ngoma. Yote hiyo ni kwa sababu kadhaa

-Mtindo wa kuajiriwa baada ya kutembea na wakubwa wa mabenki. (Sote tunajua mabosi wengi wa mabenki ni waathirika)

-Tabia ya kulinda ajira zao kwa kutembea na kila bosi mpya.

-Mchezo wa mastaff vijana wa mabenki kupenda kutafuna mastaff wa kike. (Ni utamaduni wa kawaida sana katika benki)

-Tabia ya kudanga kumtindo kwa kudandia watu wenye pesa wanaokuja kuweka pesa zao benki (Yote hii ni kwa sababu wadada wa mabenki wanapenda sana kuonyesha wana maisha mazuri ya juu, huku mishahara yao ikiwa midogo au ya kawaida sana).
 
Una kichaa wewe
 
Pia tusisahau kuwa wahudumu wengi wa kike wa benki wanapenda sana kujichubua. Sijui ndio sheria za kazini?
 
ukija kuibiwa ndo akili zitakukaa
 
Be friendly.
 
Be friendly
 
duuh
 
Nakukatalia sana mkuu wewe ni kati ya wale watu waliozoea au kuamini ili kupata huduma nzuri lazima umkatie anaekuhudumia kitu kidogo. Kumbuka sio wote wanaoweza kutoa hizo tips ka wewe.
Kazi kweli kweli. Kwa uelewa wako kuwa friendly ni kutoa tip? Ndugu hunifahamu kwahio usilazimishe ufikiriavyo wewe ndio nilivyo.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ hata Mimi nisingekataa!
 
Kuna dada ofisi moja ya serikali sikupendezwa na huduma yake nikamchana akawa ana nipandishia tukawa tunabishana mwisho akasema kama una malalamiko twende kwa bosi nikasema twende....kumbe wanafanya kazi na polisi akanipeleka kwa polisi wa ile ofisi akajua nitawatetemekea wale polisi nao tukawa tunabishana mle ofisi nzima na sikika mimi na polisi hadi polisi wakanitimua wakanambia umekua nani kwenye nchi hiii...kesho nikarudi nikaenda kwa bosi wake directly bosi alikua mstarabu aliniomba radhi akasema wasamehe unajua wanawake tena ao wakipata kazi wanakua vijeuri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…