kipepe comrade
Member
- Jun 8, 2019
- 41
- 27
Jamaa yang aliibiwa kwa style hyo na hao NMBKwa sasa wananyooka, tena wameanza kuwa wezi... ukizubaa tu wanakupiga bila aibu... anahesabu pesa na kudondosha moja.... hawana nyimbooo... zilipendwaaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jamaa yang aliibiwa kwa style hyo na hao NMBKwa sasa wananyooka, tena wameanza kuwa wezi... ukizubaa tu wanakupiga bila aibu... anahesabu pesa na kudondosha moja.... hawana nyimbooo... zilipendwaaa
Nikutokana na upeo mdogo walio nao shida kubwa wanafikiri wamefika kwa. Take hm ya 770k. Huu ni umasikin unawatesa na wengi wameishia kuchapwa bila kuolewaWakuu za mida hii?
Leo nimeona tuwaangazie hawa dada zetu wa benki ambao baadhi yao wanadharau sana kitu ambacho ni kinyume na maadili ya kazi zako.
Kuna kipindi rafiki yangu alienda benki moja kuulizia wamefikia wapi mchakato wa kuwaita kwenye " interview " cha ajabu yule dada akamjibu nanukuu " unadhani ukijipitisha hapa ndio utaonewa huruma" .
Mimi pia kuna dada benki teller alinidharau wakati ananihidumia nikamuangalia tu.
Je wewe umekutana na lipi kutoka kwa hawa Maofisa wa kike wa benki?
Nawasilisha.
Inakuwa ngumu kutokana na alie mleta Uwenda yupo ktk management ndio maana kazi huwa kazi kuwashughulikia. Unaweza kuta Huyu ni mpwa wa MD au mtoto wa rafiki wa coo basi hapo panakuwa patamu au mtoto wa manager fulani ndani ya bank na hili ndio chimbuko la madhambi kwa wateja.Katika dunia ya sasa Mteja ni mfalme, huitaji kujuana na mtu bank ili uhudumiwe hawa wa dada huwa wanajisahau saana ni management tu ya hizo bank huwa hazipati feed back juu ya wateja wanavyonyanyaswa lakini kama wanapata feedback hivi vijidada vinaweza hata kufukuzwa kazi
Sema wa Tz tunakuwa na kawaida ya kuchukulia poa, if someone is serving you and you are not happy about the service ipeleke kwa Management
Kwa taarifa yenu hivi vidada vinalazimika ku smile kwa wateja na havitakiwi kabisa kutumia sim vikiwa vibandani
Na ikitokea kimebania pesa cctv zinawa catch
Sent using Jamii Forums mobile app
Pamoja na huduma mbovu za baadhi ya wafanyakazi wa benki labda wateja wengine nao wana matatizo. Au wengine mnaenda benki tofauti kila siku?
Benki yako(yaani una akaunti hapo muda mrefu) lazima utakuwa unajulikana na wahudumu wengi tu na mnaweza kuwa marafiki kitu ambacho kitakusaidia kupata huduma nzuri ambayo unastahili kuipata hata ukiwa huna rafiki.
Mimi ninapo-bank nawajua wahudumu wote hadi branch manager kwa sababu hii labda ndio maana napata first class service,wafanyakazi wote wa bank hadi walinzi wa security company wananifahamu na ni 'marafiki'
Habari ya kuibiwa hela na teller ukishafahamiana na hawa watu haipo,tena muda mwingine unakuta foleni kubwa au system down unamuachia hela anakugongea tu muhuri system ikiwa fresh anamalizia transaction.
Tuwaheshimu wengine na sisi watatuheshimu.
Yaani kupata huduma nzuri mpaka ufahamike kwenye bank yako? Naona unaongelea tu upande wako sijui kuwafahamu ma teller mpaka manager so wateja wa siku moja moja hawastahili huduma nzuri? Kumbuka sasa hivi achilia mbali ATM kuna transactions unafanya kwa simbanking, nmb mobile cjui internet banking so unaweza maliza ata mwezi hujakutana na hao wahudumu mtafahamiana lini ili upate huduma nzuri kama unavyojinasibu wewe??Pamoja na huduma mbovu za baadhi ya wafanyakazi wa benki labda wateja wengine nao wana matatizo. Au wengine mnaenda benki tofauti kila siku?
Benki yako(yaani una akaunti hapo muda mrefu) lazima utakuwa unajulikana na wahudumu wengi tu na mnaweza kuwa marafiki kitu ambacho kitakusaidia kupata huduma nzuri ambayo unastahili kuipata hata ukiwa huna rafiki.
Mimi ninapo-bank nawajua wahudumu wote hadi branch manager kwa sababu hii labda ndio maana napata first class service,wafanyakazi wote wa bank hadi walinzi wa security company wananifahamu na ni 'marafiki'
Habari ya kuibiwa hela na teller ukishafahamiana na hawa watu haipo,tena muda mwingine unakuta foleni kubwa au system down unamuachia hela anakugongea tu muhuri system ikiwa fresh anamalizia transaction.
Tuwaheshimu wengine na sisi watatuheshimu.
Una kichaa weweHahah...unachosema ni kweli kabisa. hata mimi ndo utaratibu wangu. kila Bank ninayoenda lazima ni-recruit marafiki na tips za hapa na pale. yaani kama naenda Bank nampigia simu ananijazia bank slip na mimi naenda kumalizia signature. mpaka branch manager wanakuwa washikaji kwani nilikuwa nawatoa tips. sometimes nilikuwa nampigia manager achukue hela kwenye A/C yangu ampe teller aniletee ofisini......ukiwajuana na watu raha sana...
Hahah...unachosema ni kweli kabisa. hata mimi ndo utaratibu wangu. kila Bank ninayoenda lazima ni-recruit marafiki na tips za hapa na pale. yaani kama naenda Bank nampigia simu ananijazia bank slip na mimi naenda kumalizia signature. mpaka branch manager wanakuwa washikaji kwani nilikuwa nawatoa tips. sometimes nilikuwa nampigia manager achukue hela kwenye A/C yangu ampe teller aniletee ofisini......ukiwajuana na watu raha sana...
Be friendly.Yaani kupata huduma nzuri mpaka ufahamike kwenye bank yako? Naona unaongelea tu upande wako sijui kuwafahamu ma teller mpaka manager so wateja wa siku moja moja hawastahili huduma nzuri? Kumbuka sasa hivi achilia mbali ATM kuna transactions unafanya kwa simbanking, nmb mobile cjui internet banking so unaweza maliza ata mwezi hujakutana na hao wahudumu mtafahamiana lini ili upate huduma nzuri kama unavyojinasibu wewe??
Be friendlyUnachoeleza wewe ni corporate customer ndio maana unafikia hatua unaacha pesa..vipi yule mteja anayekwenda mara moja baada ya miezi kadhaa..au yule mtumishi wa mshahara wa mwezi hadi mwezi...akienda anachukua pesa yote hata balance hakuna..
Branch nyingi za bank ambazo ukiweka front desk wanaume wote, wanapaform vizuri kulio ile yenye mabinti ..na hata complain za wateja zinakuwa chache sana..
Nakukatalia sana mkuu wewe ni kati ya wale watu waliozoea au kuamini ili kupata huduma nzuri lazima umkatie anaekuhudumia kitu kidogo. Kumbuka sio wote wanaoweza kutoa hizo tips ka wewe.Be friendly.
una number zaoNikutokana na upeo mdogo walio nao shida kubwa wanafikiri wamefika kwa. Take hm ya 770k. Huu ni umasikin unawatesa na wengi wameishia kuchapwa bila kuolewa
duuhWengi pia wameathirika na ngoma. Yote hiyo ni kwa sababu kadhaa
-Mtindo wa kuajiriwa baada ya kutembea na wakubwa wa mabenki. (Sote tunajua mabosi wengi wa mabenki ni waathirika)
-Tabia ya kulinda ajira zao kwa kutembea na kila bosi mpya.
-Mchezo wa mastaff vijana wa mabenki kupenda kutafuna mastaff wa kike. (Ni utamaduni wa kawaida sana katika benki)
-Tabia ya kudanga kumtindo kwa kudandia watu wenye pesa wanaokuja kuweka pesa zao benki (Yote hii ni kwa sababu wadada wa mabenki wanapenda sana kuonyesha wana maisha mazuri ya juu, huku mishahara yao ikiwa midogo au ya kawaida sana).
Kazi kweli kweli. Kwa uelewa wako kuwa friendly ni kutoa tip? Ndugu hunifahamu kwahio usilazimishe ufikiriavyo wewe ndio nilivyo.Nakukatalia sana mkuu wewe ni kati ya wale watu waliozoea au kuamini ili kupata huduma nzuri lazima umkatie anaekuhudumia kitu kidogo. Kumbuka sio wote wanaoweza kutoa hizo tips ka wewe.
Dah! 😂😂😂wengine wanafanya ngono kwy magari yao
😂😂😂 hata Mimi nisingekataa!yote uliyozungumza nimeyashuhudia, la kwanza hilo la kutukanwa, kuna kademu cha kimbulu nilikuwa nacho kuna siku kakanitukana balaa kwenye simu, mm nikakaa kimya sikumjibu chochote kesho yake ananiomba msamaha huko akiomba aje ghetto nimdinye, na alivyokuwa na mkia sikumkatilia nikamwambia njoo mama ila moyoni mwangu nilishamtoa thamani.