Vituko ndani ya JamiiForums

Loooh ndo mnaanza kuniambia kuna siku nitakuwa mwanaume mniombe radhi kwa niaba ya mme wangu kipenzi anayenipenda kuliko mwanaume yeyote jf
Nichosema nikuwa unakula mema ya mshana ful kubebishwa.

Hayo mengine nadhani sihusiki By the way Maneno yapo tu hata wakisema they won't change the fact that una kitumbua... Relaxxxx Mrs mshana ndo changamoto zenyewe hizo as longo as umeamua kuweka mambo wazi humu... Kawaida sana hayo na expect zaidi ya hayo



Cc Smart911
 
Kituko kimoja ambacho kiliniacha hoi ni cha member mmoja kusema kuwa hawez kupanda daladala, wakati anapoishi hata gari haliwezi kuingia
Uwiii.. aibu ya mwaka [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
 
πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ Utafika tu najua endelea kuzunguka mbuyu
 
Kuna siku nilifatiria uzi fulani sasa mtu wa kwanza kucomment akawa Bujibuji lakini ukienda comment ya 4 hivi mwingine akawa kamquote buji sasa tatizo hiyo quote imeandikwa Mama jj badala ya Buji nikaona haya macho na vyuma hivi isije ikawa grease yake imeisha yameshindwa kusoma vizuri!..
Lakini buji alikuwa ana Id fulani nikiikumbuka ntaitaja!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…