Ambiele Kiviele
JF-Expert Member
- Dec 29, 2014
- 15,267
- 29,917
Kumbe Ila Hapa Hakuna Kusutwa BhanaKusutwa ndo sijawahi,sina uzoefu si unajua kila kitu uzoefu.
Hehehee.. naomba ubuyu. Nini kilitokea kwa rubii??Hahahaa nimemkumbuka rubii nikakumbuka mlolongo mrefu wa warembo wa jf..
Kuna yule mama mchungaji nasikia akaingia tundu bovu..
Hahahaaa
Kweli kila lenye mwanzo lina mwisho
Jamani hornet hapa deep mawazuuuu na huo umbea unaoninyima atakuchamba naniiii tunakusaidia bana ataanzaje kukuchamba kwahiyo mama mchungaji walivyoenda kutest oil alikulwaHahahaa dada weee naogopa kuchambwa...[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ila wajuvi wa mambo wanamjua
Mabazazi wakaenda kutest oil...aah jamani hapana
Jf usipocheka una tatizo
Unazingua embu tuambie bwanaHahahaa dada weee naogopa kuchambwa...[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ila wajuvi wa mambo wanamjua
Mabazazi wakaenda kutest oil...aah jamani hapana
Jf usipocheka una tatizo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] akiingia akitoka salamu jaman zinachoshaNa wanasalimia mda wote [emoji23] [emoji23] [emoji23] mwingine anakudiss kwenye post,akija pm anakua kondoo
Ni vile hakuna mawe humu
Popote alipo mpe salamu!..Yure bibi alikua burudani sana unatukanwa huku ukielimishwa!!...Nimemmiss Faiza sana
Wacha nimtafute Bi Zainabu anielekeze alipo.
Ndio nani tenahebu mtafute Jawilat akusaidie basi.
Una wazimu wewe kama unatafuta kiki nitakupami siongei sana Bado nayajenga na moderator huko
Yupo mmoja jamani. Baadae akachoka kunidis maana aliona sielekei kutaka league nae sasa hivi tumekua marafikiNa wanasalimia mda wote [emoji23] [emoji23] [emoji23] mwingine anakudiss kwenye post,akija pm anakua kondoo
Ni vile hakuna mawe humu
SawaaKumbe Ila Hapa Hakuna Kusutwa Bhana
Ila Tuaambiana Ukweri Ulio Wazi
Cc Charm Deko Where U R....??
Fakalava kafanyaje nipo nae pmAh ah ah ah ah ah Mambo Yako Haya Shunie[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Na Mim Nitakuchokoza Mida
Cc Fucker Lover
We ushawahi hata kuquotiana na mm mfyuuu au ndio mjukuu wa chifu umekuja kwa I'd nyingine kwendraaaaakesi bado iko kwa pilato
Hongera Bi DadaFakalava kafanyaje nipo nae pm
Akwendreeee huko eti kesi kwa pilato kwahiyo aitwe yeye tuHapo sasaa
Ndio hapoKama mimi nilivyozushiwa na mdada mmoja kuwa ile ya mamiake ni yangu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Nilivyo msahaulifu hivi naanzaje kumanage account mbili
Mmh kaungwa lini halaf impogo si nilikuwa naionahivi ilikuaje ukhuty akaungwa id yake na yure impogo sijui!!.. Ni makosa ya mod?..
Ili wascreenshot watumiane hukoUngekua unawajibu sijala sina hela
Hahahahahaa.. sijui hili mbona. Daaah. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hivi ilikuaje ukhuty akaungwa id yake na yure impogo sijui!!.. Ni makosa ya mod?..
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kuna kipindi nilitest zali nikafungua Id ya kiume
Nikaweka thread ya kutafuta mchumba
Wallah pm ilifurika,
Kisanga sasa,siku moja nataka nipm na Id ya siku zote sijui ikawaje nikajikuta nimecomment na ile ya kiume...
Nilivyolog out mpaka leo sikumbuki hata jina la ile Id.