Vituko ndani ya JamiiForums

Vituko ndani ya JamiiForums

Hahahaa nimemkumbuka rubii nikakumbuka mlolongo mrefu wa warembo wa jf..
Kuna yule mama mchungaji nasikia akaingia tundu bovu..
Hahahaaa
Kweli kila lenye mwanzo lina mwisho
Hehehee.. naomba ubuyu. Nini kilitokea kwa rubii??
 
Hahahaa dada weee naogopa kuchambwa...[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ila wajuvi wa mambo wanamjua
Mabazazi wakaenda kutest oil...aah jamani hapana
Jf usipocheka una tatizo
Jamani hornet hapa deep mawazuuuu na huo umbea unaoninyima atakuchamba naniiii tunakusaidia bana ataanzaje kukuchamba kwahiyo mama mchungaji walivyoenda kutest oil alikulwa
 
Na wanasalimia mda wote [emoji23] [emoji23] [emoji23] mwingine anakudiss kwenye post,akija pm anakua kondoo

Ni vile hakuna mawe humu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] akiingia akitoka salamu jaman zinachosha
 
Kuna kipindi nilitest zali nikafungua Id ya kiume
Nikaweka thread ya kutafuta mchumba

Wallah pm ilifurika,
Kisanga sasa,siku moja nataka nipm na Id ya siku zote sijui ikawaje nikajikuta nimecomment na ile ya kiume...
Nilivyolog out mpaka leo sikumbuki hata jina la ile Id.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Nimecheka Sana
 
Back
Top Bottom