Vituko ndani ya JamiiForums

Vituko ndani ya JamiiForums

Ewaaaaa hivyo hivyo au jaman wanaume wenzangu naomba mnisaidie shemeji yenu analalamika nawahi haraka kukojoa khaaaaa watu wanayaweza ndio ya huyo mkaka dada tena me nilikuwa naelewana nae sababu ya thread zake anazoleta za mastory sasa hivi nabaki kumshangaa tu kuna siku nilimquote kwahiyo umeshabadirika jinsia umeshakuwa mwanamke tena hajanijibu nikamwambia ni jf pekee wanaume wanabadirika jinsia tokana na mazingira
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
hahaha,yaani kwenye hiyo ID yake alijiita giLESI eti ni mwanamke, kwa hiyo katika thread inayofurahisha ni hiyo zaidi na zingine, sasa mods sijui wakawa vipi wakaunga ID zake, sasa hapo ukimfikiria Bujibuji umjuaye, halafu uvute hisia kwamba alijifanya ni mwanamke, alikuwa anawasanifu watu na watu walitiririka kweli. ni uzi wa mwaka nadhani 2013 hahahahaha
Daaah,huo Uzi kipindi hiko nakumbuka nilikua napita jf kama guest member ,yan nilikua nachekaga kwenye huo uzi,,Sasa naposoma hapa nakumbuka mbal kwel
 
Back
Top Bottom