Mzigua90
JF-Expert Member
- Sep 23, 2014
- 38,342
- 88,625
Mama weee. Aibu hiyo nisingevumilia [emoji23][emoji23][emoji23]Yaaaani nimeeeecheka lakini ujue ni aibu sana kama unafanya ivyo af uje uumbuliwe,hivi kwa mfano akaunt ya yule wa kujisifu alilambwa na mtanga ndo igundulike ni yako mzigua haha hiv utajificha wapi?