Ule uzi umefungwa hakuna ku comment zaidi ya ku like tuJamani khaaa ikawaje sasa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ule uzi umefungwa hakuna ku comment zaidi ya ku like tuJamani khaaa ikawaje sasa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] daaaaah jf buaaana aaaiiiihahaha,yaani kwenye hiyo ID yake alijiita giLESI eti ni mwanamke, kwa hiyo katika thread inayofurahisha ni hiyo zaidi na zingine, sasa mods sijui wakawa vipi wakaunga ID zake, sasa hapo ukimfikiria Bujibuji umjuaye, halafu uvute hisia kwamba alijifanya ni mwanamke, alikuwa anawasanifu watu na watu walitiririka kweli. ni uzi wa mwaka nadhani 2013 hahahahaha
Hapana jamani tia tu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Sitii Neno Hapa
Kwa Shunie Na Ww Hutoa Tuuuuu Ovyo Ovyo Hata Kama Unacho....??Jomoniiii hornet vibaya hivyo kumnyima mwenzio kitu unacho
Sawa wakunyumbaWakunyumba mwache tuu
HahahahaaNyie Watu Siwawez
Naogopa Kipigo Cha Mbwa MwiziHapana jamani tia tu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] halaf sisi wengine tukiandika za kuudhi wala hatujibu vibaya mzigua sasa akiandika hata kawaida woiiii anakomaSijui ulimkosea nini,maana akiona comment yako nadhan alikua anajaa mpaka kifua kitake kupasuka bure....hahaa ulivo mshenzi sasa unajichekea tu
unaweza tu ku search: Nifanyeje Mat'ako' yasitingishike nitembeapo? hahahahah na kwambia uzi una page karibia 38 hahahahaah[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] daaaaah jf buaaana aaaiiii
Mzoefu Katika Nin Sasa Ebu Tunyama Hapa Plz..!!!Hata najua basi ila anaonekana mzoefu tu
Sasa mods kwa nini waliunganisha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Jolie Jolie Shunie
Hahahahaaa. Si nilikua najua anachokitaka kazi yangu ikawa kucheka tu na kulike asiniharibie siku.Sijui ulimkosea nini,maana akiona comment yako nadhan alikua anajaa mpaka kifua kitake kupasuka bure....hahaa ulivo mshenzi sasa unajichekea tu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hahaha,yaani kwenye hiyo ID yake alijiita giLESI eti ni mwanamke, kwa hiyo katika thread inayofurahisha ni hiyo zaidi na zingine, sasa mods sijui wakawa vipi wakaunga ID zake, sasa hapo ukimfikiria Bujibuji umjuaye, halafu uvute hisia kwamba alijifanya ni mwanamke, alikuwa anawasanifu watu na watu walitiririka kweli. ni uzi wa mwaka nadhani 2013 hahahahaha
Ntakudunda [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] na akifungua akiniambia namtangaza
Kwahiyo utaniacha eeh. SawaAkuuu nitakachofanya ni kulog out tu wakunyumba ban nimezichoka
@Mbitiyaza hapendagi hizi mambo za umbea umbea jamanihahhahahahah, mwite na Miss Natafuta na MBITIYAZA JF maraha kwa kweli
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hahaha,yaani kwenye hiyo ID yake alijiita giLESI eti ni mwanamke, kwa hiyo katika thread inayofurahisha ni hiyo zaidi na zingine, sasa mods sijui wakawa vipi wakaunga ID zake, sasa hapo ukimfikiria Bujibuji umjuaye, halafu uvute hisia kwamba alijifanya ni mwanamke, alikuwa anawasanifu watu na watu walitiririka kweli. ni uzi wa mwaka nadhani 2013 hahahahaha
Hana akili huyoKwa Maandishi Makubwa Kabisa Yani
Naomba link basi jamanUle uzi umefungwa hakuna ku comment zaidi ya ku like tu