Vituko ndani ya JamiiForums

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Sa nyingine unawapotezea tu huwajibu mijanaume ya humu ina maswali na salaam kila mara yakiingia pm
Ila ukisalimiwa kila wakati si ndio bahati hiyo dada, wenzako wanaenda kwa waganga kisa hawasalimiwi njiani
 
Nimecheka mpaka nimetoa machozi. Daah. Kwahiyo alitaka kuwachora wanaume wenzie pm au? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahaha yan hujanfkia mm nmecheka walah

Afu kuna sehem akaja na akaunt yake real na ye anampa ushaur gilesi hahaha nmechekaaaaaa


Kuendelea mbele nakuta mmoja mmoja anaanza kushtuka haha eti,kumbe ni mwanaume dah!!!

Babu asprin nae kumbe alizama pm kwenda kumtongoza gilesi
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ngoja nikaendelee ina pages nyingi nimeona uvivu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…