Vituko ndani ya JamiiForums

Vituko ndani ya JamiiForums

Kwa niaba yake tu mi nikuombe samahani kwausubbufu uliupata, maisha yana furaha na huzuni pia. Ila vyote huzuni na furaha husababishwa na watu. Kwa hiyo pole sana chukulia ni sehemu ya maisha tu, na endelea na mambo mengine kiroho safi bila kinyongo. Ila kuna msemo waswahili wanasema ukitaka kumvua pweza lazima umchokoze kwanza, inawezekana huyu anataka kuvua pweza 😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀
yaan kanikera kweli embe hili halichuchiki atafute mwembe mwengine mekuelewa kak[emoji120] [emoji120]
 
Mim sasa nkaanza kuwahadthia watu hata hawaijui jf,walicheka tu lkn naona walicheka kunsapot tu sidhan kama wamenielewa na gilesi wetu
Kuna mmoja kaniona nacheka mpaka na yeye akaanza kucheka. Nikamuhadithia na ndo muda yule Yaka nini sijui ndo katuma anaulizia kama yamekaza basi kacheka.
 
JamiiForums ni sehemu ambapo tunapata habari, tunaelimika, tunaburudika na hata stress wakati mwingine. Pamoja na faida zote na hasara hizo ila baadhi ya member wana vituko na kubadirika kama vinyonga.

Leo utasikia mtu anamshukuru mungu kwa kupata watoto mapacha kesho anakwambia ana bikira, leo utasikia mtu akilalimika picha za mke wake zimerushwa mitandaoni kesho unasikia anatafuta mume, leo utasikia mtu mwanae anaumwa kesho anakwambia hajawahi zaa toka azaliwe..

Leo analalamika wanaume wote aliowapata sio waaminifu kesho hajawahi tongozwa tokea avunje ungo basi ili mradi vituko juu ya vituko..

😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji38] [emoji38] [emoji38] Yeuwiiii Umenifurahisha kwa kweli
 
Back
Top Bottom