Vituko ndani ya JamiiForums

Vituko ndani ya JamiiForums

[emoji2][emoji2] asante dada mwenyeji!.. Unajua kipi kilichonisumbua mie mgeni, ile post imewekwa kwenye thread zako badala ya kuwekwa kwenye thread za SHITUGO but no case kumbe yake bana!!..
usikurupuke ten siku ingine[emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35]
 
Hahaha yan hujanfkia mm nmecheka walah

Afu kuna sehem akaja na akaunt yake real na ye anampa ushaur gilesi hahaha nmechekaaaaaa


Kuendelea mbele nakuta mmoja mmoja anaanza kushtuka haha eti,kumbe ni mwanaume dah!!!

Babu asprin nae kumbe alizama pm kwenda kumtongoza gilesi
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Ila member's wa humu uongo walionao sijui hata kama shetani anawahitaji!!!

Kuna mwingine alileta uzi hapa akidai amemaliza masomo yake nchini China mda kurudi nyumbani Tz umefika akadai a nahitaji binti wa kula naye bata hapa bongo!!!

Kurudi kufatilia nyuzi zake za nyuma miezi michache alisema anaishi dar mazense tena alileta kisa cha yeye na mke wake, nikajiuliza huu uongo ni kwa faida ya nani!!!!!!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Kuna jamaa alianzishaga uzi" mke wake hataki kugandana gandana anataka gari lake"

Siku si nyingi akaja na mwingine " home kuna gari mbili ila mke anataka ampeleke ofisini na ampitie wakati wa kutoka, asipofanya hivo mke anamaind" sijui wanaona ufahari gani kudanganya
 
Back
Top Bottom