FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
'Title IX' ni sheria ya kuwalinda wanafunzi wa shule za primary na Sekondary pindi wapatapo mimba wakiwa shuleni huko Marekani.
Kimsingi sheria hii inazuia unyanyapaa wa aina yeyote ile dhidi ya mwanafunzi mjamzito na kuhitaji shuke impe mahitaji yake yote kama mama mjamzito ikiwemo kumchongeshea dawati maalum lenye nafasi kubwa ya kuweza kuruhusu tumbo lake kukaa bila kuminywa, aruhusiwe kwenda msalani mara kwa mara hata kama inabughudhi ufundishaji, hii ni ili aweze kutapika na kupata haja ndogo kadri atakavyohitaji.
Shule inahitajika kuajiricoordinator maalum kwa mujibu wa 'Title IX' ili kuhakikisha mjamzito huyo anasimamiwa haki zake ioasavyo ikiwemo kupatiwa share kubwa ziaidi ya chakula ili ashibe, pia aruhusiwe kutega vile atakavyo bila document ya daktari, aruhusiwe kuchelewa kuingia darasani vile atakavyo bila cheti cha dakatri, wanafunzi wenzake wanawajibika kumsaidia kucatch up vipindi alivyokosa hata baada ya kujifungua akirudi toka likizo ya uzazi. Hii ndio title IX.
From SHIT HOLE USA.