Vituko nilivyowahi kuviona kwenye sahili (interviews) vya kukatisha tamaa

Mtoto Tobby alitia fora
 
Kumbe mrembo sio tuu kwamba una mguu wa bia...pia skonga imekaa vizuri.
Hongera sana.
 
Unapiga mishe gani mkuu? Maana kuna kazi wanabanwa kuliko hao walimu
 
Mnaambiwa mwende posta mlambe stamp hii kazi ya kiume hamuiwezi utafkiri we mwanamke [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hao jamaa ni shida kipindi hicho mihani gas case kama hyo ilitukuta na mwanangu tena sisi tulipita kwenye usaili ila mwisho wa siku wakaweka ndugu zao
 
😀😀 jamaa yangu mmoja alienda kufanya usahili wa Polisi,aliambiwa wewe form 6 mzima unataka nafasi ya Polisi,hatutaki wasomi sisi
Na kuna mwingine alienda kwenye Usaili wa Jeshi wakamwambia ainame apigwe tochi waone kama anamanyoya au hana hizi vijana wanapitia vipindi vigumu sana[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Pamoja na kuwaonesha maficho yako ya kutolea mbolea lakini Bado walikuacha dah inasikitisha sana
 
Atakayenipa connection ya kazi za hotel au camps Serengeti, ngorongoro au camp yoyote porin mshahara wangu wa kwanza tunagawana
Kuna mtu Dada aliekaga mpaka kiwanja cha million 4 humu jukwaani. Huu mfumo ni mzito. Walahi tumekwisha
 
Pamoja na kuwaonesha maficho yako ya kutolea mbolea lakini Bado walikuacha dah inasikitisha sana
Acha upumbavu weka fact hapa ya kuwa niliachwa?,tatizo la dot.com mmechanganyikiwa na hamuachi kulalama hadi vikazi vya muda vya sensa, for your information I did flew F6,acha upumbavu next time
 
 
Naombeni kujua utofaut kati ya mechanical engineer na ile mechanical and marine engneer
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…