mikila miwili
JF-Expert Member
- Dec 14, 2021
- 563
- 561
Ni kwakoBongo bila pesa au connection utalia na kusaga meno,labda iwe bahati yako tu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni kwakoBongo bila pesa au connection utalia na kusaga meno,labda iwe bahati yako tu.
Niliwahi kuhudhuria interview moja miaka ya nyuma. Sasa nilipofika eneo la interview nilibahatika kubaini ya kwamba kuna watu tayari walishachaguliwa.
Sisi kumbe ilikuwa ni danganya toto. Nilishikwa na hasira sana.
Zamu yangu ilipofika nikaitwa kwenye panel kwa ajili ya kuulizwa maswali.
Baada ya utambulisho niliwachana live wale panelist. Niliwaambia hv nakumbuka "Samahani ndugu zangu nimekuja kimakosa hapa sikupaswa kuwepo kwasababu tayari mna watu wenu mifukoni" kisha nikatoka kwa speed. Kugeuka nyuma nikaona kuna karani amekaza mwendo kunifuata akiniita nikakaza mwendo nikapotelea kusikojilikana mpaka leo
usilolijua ni kama usiku wa gizaHaya mauza uza ya hivi kwenye interviews huwa mara nyingi hayawakuti waliosoma Engineering, MD, Pharmacy na sciences nyingine, balaa liko kwa ngwini na biashara.
UnayosailiwaUsaili ambao siji kuusahau ni wa sensa ya mwaka huu msaili naye ni muhitaji wa nafasi unayosajiliwa[emoji23][emoji23]
Tatizo ni mifumo imara, unakuta haohao watu wanawatoto wao wanategemea connectionbado naendelea sana kufuatilia huu uzi, Kwakweli kuna vitu vinaumiza sana.
Watu wa Takukuru mpo humu, watu wa TISS mpo humu na hawa wanaoteseka ni ndugu zenu jaribuni kusaidia jamii tabia hii ife mnusuru vizazi na vizazi.
Kuna haja sasa hizo mamlaka nilizozitaja kufanya kitu kwa kuanzia kwenye taasisi za Serikali kila nafasi zinapotangazwa na kuona nini kinatokea na ikibainika kuna shida basi hatua za haraka zichukuliwe.
Safi sana, tunaangusha wenyewe kwa wenyewe tu, hii nchi kuendelea ni ndotomtoa mada umenikumbusha dogo wangu wa kitaa Martin tangazi alivyofanyiwa na TFF..hii nchi ni ngumu sana kama mnakumbuka miaka ya uko nyuma kuanzia 2011 kulikuwa na mashindano ya Airtel rising star wanatafutwa vijana wenye vipaji then wanapelekwa Qatar kwenye Academy ya mpira wakachaguliwa watu kutoka kwenye shule mbalimbali za sekondary alafu ukafanyika mchujo bahati nzuri uwo mchujo aliyekuwa anausimamia ni mzungu kutoka Spain ukapigwa mchujo dogo akapità wakapelekwa karume wakaungana na wengine ili upigwe mchujo wa mwisho kitaifa then waliyopita moja kwa moja Qatar basi dogo kama bahat napo pale akatoboa wakawa wamechaguliwa watu kama 10 ndio waliofuzu wanaenda Qatar dogo akaanza kufuatlia mambo ya pasport kila kitu kikawa sawa sasa siku ya kuondoka waliambiwa wote waliochaguliwa wafike makao makuu ya TFF asubuhi saa1 dogo saa 12 tayari alishafika muda ulipofika wakawa wanaitwa majina then wanaingia kwenye coaster la TFF moja kwa moja Airport dogo anashangaa majina yameisha alafu yeye ajasikia jina lake akauliza mimi sijasikia jina langu na kwenye mchujo nilipita wakamuuliza unaitwa nani akawajibu akaambiwa mbona Martin tangazi yupo ndani ya gari tayari akajaribu kuwaelewesha wapi kumbe nafasi yake walimpachika dogo mmoja mtoto wa kiongozi wa TFF gari likasepa wakampa nauli elf10 ya kurudia home haki ya mtu ailiwi niliamini siku ile kufika Airport wakakutana na ile crew ya yule mhispania wametoka hotelini tayari kwa kuanza safari kama zari yule mzungu akaingia ndani ya gari kuhakikisha wale aliowachagua kama ndio wenyewe yule mzungu ile kuwatazama wote akawaambia wale viongozi wa msafara kuna mtu mmoja ayupo apa sijamuona wakauliza nani uyo akawaambia martin ayupo apa kumbe yule mzungu alishamkubali dogo akawaambia apa atuondoki bila uyu mtu kuletwa apa dohh kwa aibu tumekaa kitaa tunasikia bi mkubwa wake anakuja na simu kumpa martin yule kiongozi alimwambia beba vitu vyako faster njoo airport kilichobaki ni historia dogo now ameshachukua na uraia wa Qatar kabisa
"Tunalichukua, tutalifanyia kazi" atasikika mwana JF mmoja humu.bado naendelea sana kufuatilia huu uzi, Kwakweli kuna vitu vinaumiza sana.
Watu wa Takukuru mpo humu, watu wa TISS mpo humu na hawa wanaoteseka ni ndugu zenu jaribuni kusaidia jamii tabia hii ife mnusuru vizazi na vizazi.
Kuna haja sasa hizo mamlaka nilizozitaja kufanya kitu kwa kuanzia kwenye taasisi za Serikali kila nafasi zinapotangazwa na kuona nini kinatokea na ikibainika kuna shida basi hatua za haraka zichukuliwe.
Umesikiliza audio za Jerome?Haya mauza uza ya hivi kwenye interviews huwa mara nyingi hayawakuti waliosoma Engineering, MD, Pharmacy na sciences nyingine, balaa liko kwa ngwini na biashara.
Halafu TAKUKURA wanafahamu hiyo inshu yote si ndiyo?mtoa mada umenikumbusha dogo wangu wa kitaa Martin tangazi alivyofanyiwa na TFF..hii nchi ni ngumu sana kama mnakumbuka miaka ya uko nyuma kuanzia 2011 kulikuwa na mashindano ya Airtel rising star wanatafutwa vijana wenye vipaji then wanapelekwa Qatar kwenye Academy ya mpira wakachaguliwa watu kutoka kwenye shule mbalimbali za sekondary alafu ukafanyika mchujo bahati nzuri uwo mchujo aliyekuwa anausimamia ni mzungu kutoka Spain ukapigwa mchujo dogo akapità wakapelekwa karume wakaungana na wengine ili upigwe mchujo wa mwisho kitaifa then waliyopita moja kwa moja Qatar basi dogo kama bahat napo pale akatoboa wakawa wamechaguliwa watu kama 10 ndio waliofuzu wanaenda Qatar dogo akaanza kufuatlia mambo ya pasport kila kitu kikawa sawa sasa siku ya kuondoka waliambiwa wote waliochaguliwa wafike makao makuu ya TFF asubuhi saa1 dogo saa 12 tayari alishafika muda ulipofika wakawa wanaitwa majina then wanaingia kwenye coaster la TFF moja kwa moja Airport dogo anashangaa majina yameisha alafu yeye ajasikia jina lake akauliza mimi sijasikia jina langu na kwenye mchujo nilipita wakamuuliza unaitwa nani akawajibu akaambiwa mbona Martin tangazi yupo ndani ya gari tayari akajaribu kuwaelewesha wapi kumbe nafasi yake walimpachika dogo mmoja mtoto wa kiongozi wa TFF gari likasepa wakampa nauli elf10 ya kurudia home haki ya mtu ailiwi niliamini siku ile kufika Airport wakakutana na ile crew ya yule mhispania wametoka hotelini tayari kwa kuanza safari kama zari yule mzungu akaingia ndani ya gari kuhakikisha wale aliowachagua kama ndio wenyewe yule mzungu ile kuwatazama wote akawaambia wale viongozi wa msafara kuna mtu mmoja ayupo apa sijamuona wakauliza nani uyo akawaambia martin ayupo apa kumbe yule mzungu alishamkubali dogo akawaambia apa atuondoki bila uyu mtu kuletwa apa dohh kwa aibu tumekaa kitaa tunasikia bi mkubwa wake anakuja na simu kumpa martin yule kiongozi alimwambia beba vitu vyako faster njoo airport kilichobaki ni historia dogo now ameshachukua na uraia wa Qatar kabisa
Mpe taarifa Watu wenye CPA (T) ni wachache ukilinganisha na idadi ya EngineersUmesikiliza audio za Jerome?
Umeona rushwa iliyokuwa inatembea kwa Hao ma injinia ktk kazi za TANROAD?
- Kwani hizo Kozi nyingine hazieleweki?Tunataka kozi zinazoeleweka kama MD, Mechanics eng, etc.
Sent from my A50s using JamiiForums mobile app
Nao sio muda itakuwa itakuwa kama biashara na sheria tu.
Nchi ya walamba asali..na hivi sasa ndio watachomekana sana kwenye nafasi mbalimbali.Nikiwaambia jpm alinyoosha nchi mnanitukana ooh mi mshamba oh what what.
Siku nilipokoma kwenda interview ilikuwa hivi.
Hr alinipigia akaniambia nijiandae kesho ni interview.
Huyo nikafika .siku hiyo sikulala nilisoma hadi asubuhi.
Kufika nikakuta interviews wako 8, watu wakaingia weeee na mimi nikaingia jumla tulikuwa 15 kumbe anatakiwa mmoja tu.
Basi wakaniuliza weee nikajibu mpaka natoka nilikuwa na %90 nimejibu sahihi.
Basi wakati wa kuondoka hr akaniita akanambia , luckyline najua umetoka chuo, hujafanya interview nyingi, nilikuita upate uzoefu ili siku nyingine ukiitwa sehem uweze kuwa na uzoefu zaidi.
Akaniambia nilikuita kwa sababu hauko mbali, nauli buku.kiukweli hutopata hii kazi atapata yule binti mlofatana ni mtoto wa one of the directors, ingawa umejibu vizuri ila ndo hivo.samahahi kukusumbua najua umejifunza kitu. nilikereeeeka mpaka basi.tangu siku hiyo sikuwahi kuomba kazi tena.
Jpm alivyoingia vyeti feki wakakaa chini. Si ndo sisi wenye vyeti vyetu vilivyonyooka tukaanza kuwa na thamani.?
2019 hapa ilikuwa ni cheti tu hakuna connection wala nini. 2019 nikapa kazi nilokuwa nataka, juzi nikaomba tena mule mule, cheti chako ndo dhamana yako nimepata tena.hii ndo kazi niliitamani hata kuliko ya kwanza.
Kazi inayotaka vyeti na ufaulu wa interview ndo kazi.
Ati wanaita watu elfu 2 kumbe wanataka 20 kweli? Upuuzi.
Makarani wa sensa mpoo?[emoji3][emoji3][emoji3]
Bila connection hakuna la ziada.Nchi ya walamba asali..na hivi sasa ndio watachomekana sana kwenye nafasi mbalimbali.
#MaendeleoHayanaChama