Vituko Sudan: Omar Al Bashir hajulikani alipo

Haijashindwa kumkata, kuna uwezekano mkubwa RSF walikuwa wanamkingia kifua kwa sababu angewaunganisha nao katika jinai zake, RSF ndio walikuwa mkono wake muhimu kufanya uhalifu wake, hawezi kufungwa yeye makamanda wake wakabaki salama.
Ndio kushindwa kwenyewe huko.
 
Huyu mwamba record zangu kichwan cku zote namchukulia km alishakufa, cjui kwa nn hyu Mzee namwona km alishatangulia mbele ya haki
Tupo wengi mkuu , always madictator huhit kuliko wasanii ila wakifulia bas utahis kama kafa sabab umezoea msikia
 
Taarifa zasema Al bashir alihamishiwa kwenye hospitali ya kijeshi kabla mapigano hajaanza.

Jeshi lilikuwa limepata taarifa za kijasusi kuwa Bashir alikuwa target na vikosi vya RSF.
 
Taarifa zasema Al bashir alihamishiwa kwenye hospitali ya kijeshi kabla mapigano hajaanza.

Jeshi lilikuwa limepata taarifa za kijasusi kuwa Bashir alikuwa target na vikosi vya RSF.
Na hata vikosi vya Burhan vinasema ndio waliolivunja hilo gereza na wakakuta hakuna Albashiri.
Huyu general wa RSF katika hivi vita inaonekana ndiye mpuuzi zaidi.
 
Hapana angalia inchi za afrika hali ilivyo na inchi za watu weupe hawako perfect ila wako mbali sana tofauti na mwafrika

Yaan mwafrika ni mtu anayependa shortcut, mbinafsi, conman, na ana upeo mdogo yaan anafikiria leo na sio kesho
Europe ndo inayofanya Africa iwe hvyo ilivyo , hata viongozi wako wa nchi wanakuchagulia , na ikitokea amepenya mzalendo watafanya kila waliwezalo apotee , mambo sio marahisi kama unavyofkria , cha msingi we komaa na wanao uwapatie maisha Bora Kwa mda wako mfupi duniani
 
Ni kweli tusipende kujisifu kwa kuwa ni waafrka, eti tunajipa aibisha, hapana
Tuongee ukweli na utatuweka huru na tujirekebishe, wa afrika tumebakiza historian tu ndo tunayojivunia lakini Afrika ya Sasa ni hovyoo tu kila kitu
Tumebaki kuiga vitu vya kipuuzi tu,na ubinafsi
Ni kero kila siku kujikosoa ila Hakuna namna kama hatubadiliki
Ukitaka Kuona tofauti ya mtu weupe na mweusi angalia mtu weupe akija hapa Afrika, akifika eneo analoanza maisha atakuwa tofauti kwa muda mchache na mtu mweusi,
Aya angalia mtu mweusi akifika aneo au nchi nyingine yoyote kama si mwizi basi muuza miadarat
Kitu halal I ni usanii kama muziki au kipaji kama mpira, sana sana labda awe rasta na culture zake
Tubadilike tusjsifu ujinga
 
Wasudani sio Waafrik mkuu ,hakuna Mwafrika mwenye roho za aina Ile...labda Waafrika walioiga tqmaduni zao!
Nchi yoyote iliyoko barani Afrika raia wake ni Waafrika. Wanaweza kuwa Waafrika wa asili au waliohamia na kulowea katika bara la Afrika kutoka mabara mengine.

Kwahiyo, tuna Waafrika ambao asili yao ni bara la Asia, Ulaya au kwingineko, lakini kwa kuwa wako barani Afrika na raia halali huitwa Waafrika.

Ndio maana hata wenye asili ya Afrika walioko Marekani au Uingereza, ni Wamarekani au Waingereza kwa uraia. Uraia hautokani na asili ya rangi ya ngozi au nywele, bali unapoamua kulowea na kuishi.
 
Yeye ndie aliwatuma RSF kupitia janjaweed wakauwe wasudani kusini, so possible wamemtorosha wamrejeshe madarakani. Hawa madikteta huwa haitakiwi kuwaacha hai ndo madhara yake haya. Jeshi la sudani lilifanya makosa Sana kumuacha hai huyu mtu bora lingemkabidhi ICC, atarejea madarakani bila kutegemea.
 
Yaan Africa bhana eti mfungwa anatafuta kituo cha polis ajisalimishe Ila anakuta awafanyi kazi serious…. Embu toroka keko halafu uende sitaki shari kama utakuta jamaa hawapo utajuta
jHii ya mfungwa kutafuta kituo cha polisi ajisalimishe inapendeza sana.
 
SAsa Mungu kaleta neema gereza limevunjwa uendelee kukaa kwani kwako hapo
Hawakukaa.Wameonekana wamebeba mabegi yao wanaongozana mitaani.Wengi hata hawajui waende wapi.Ndio maana yule waziri wa zamani wa mambo ya ndani akatafuta kituo cha polisi ajisalimishe.
Inaonekana huyu jamaa hakuwa mtu mbaya.Ni mambo ya icc tu hayo kuacha watu waovu na kuwakandamiza wanyonge wa Afrika.Kama angekuwa ni mtu mbaya kweli basi angejulikana haraka na watu mitaani tena jijini Khartoum.wasingemuacha atembee na mkoba wake kwapani .
 
Hapana angalia inchi za afrika hali ilivyo na inchi za watu weupe hawako perfect ila wako mbali sana tofauti na mwafrika

Yaan mwafrika ni mtu anayependa shortcut, mbinafsi, conman, na ana upeo mdogo yaan anafikiria leo na sio kesho
Israel na palestina vipi?
Kule Iraq,Syria au pale kwa Zelensky
 
Yule afisa alikuwa ni kiongozi kwenye operation janjaweed ya kuwamaliza weusi kusini
 
Na Magufuki alichaguliwa na Europe?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…