Vituko Sudan: Omar Al Bashir hajulikani alipo

Vituko Sudan: Omar Al Bashir hajulikani alipo

Ukute pentagon inajua alipo al Bashir na kuna terms flanflan wanaingia nae ili wamrudishe madarakani ikiwemo kuwafurusha wachina migodini na kwei visima vya mafuta.

Hao majenerali ni nembo tu inatumika lkn walioanzisha hiyo vita wamekunja nne wanasubiri mipango itimie
Wachambuzi wa mchongo mmeshafika.

Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
 
Ukute pentagon inajua alipo al Bashir na kuna terms flanflan wanaingia nae ili wamrudishe madarakani ikiwemo kuwafurusha wachina migodini na kwei visima vya mafuta.

Hao majenerali ni nembo tu inatumika lkn walioanzisha hiyo vita wamekunja nne wanasubiri mipango itimie
Yaan wewe kila kitu njama za wamarekani
Mkeo akiwa kiburi njama za Americans
 
acha kutetea ujinga , tumia akili yako vzr kwann viongoz wa afrika wachaguliwe na ulaya , utakuja gundua bado lawama zinaangukia kwenu waafrika , mtu yupo busy na story za udaku kipind cha kampen anataka apewe buku 5 kisha akupigie kura bila kujali ubora wa anaemchagua
Sawa Niko pale nasubir utimilifu wa hzo ndoto zako za alinacha
 
Vipi Rwanda? DRC? Liberia? Angola? au South Sudan? Mbona hizo zote ni miongoni mwa nchi za kiafrika zisizofuata "tamaduni za Sudan" na zimewahi kukumbwa na vita vya wenyewe kwa wenyewe na mauaji makubwa.

Tunamshukuru Allah kwa neema ya amani na usalama katika nchi yetu. Nawaombea amani kwa Allah na ndugu zangu wa Sudan na wengine wote waliopatwa na mtihani wa khofu na vita.
Usimsahau Mwalimu alituingiza vita pia
 
Sio upuuzi angalia inchi za kiafrika zilivyo labda kwa sababu hujawah tembea nchi tofauti tofauti siku ukitembea utakubaliana na mim

Ukienda kwenye inch nyingi za western, china, south korea au japan utakacho kiona kule kupo organized, kusafi, wastaarabu, na mambo mengi yamenyooka njoo nchi za afrika hakuna mipango miji, kuchafu, yaan vurugu vurugu tunasafari ndefu sana waafrika
Wewe ni mpumbavu
 
Yule afisa alikuwa ni kiongozi kwenye operation janjaweed ya kuwamaliza weusi kusini
Unazungumza ujinga na hata ukipewa ushahidi unarudia lile lile.Hii ni dalili ya ushoga. Mtu mwenyewe mweusi halafu unasema alikuwa na kampeni ya kumaliza weusi.Kuhusu mgogoro wa Sudan mpaka nchi imemalizika wazungu wametuzuga sana. Kusudio lao ilikuwa ni kusambaratisha utawala wa sharia.
 
Mnapenda wapakazia wazungu
 
Grereza la Kober analoshikiliwa aliyekuwa rais wa Sudan,Omar Albashir limevunjwa na mahabusu wote kukimbia. vikundi vinavyopigana kila kimoja kinaonesha kutokuwa na uhakika wa sehemu alipo kiongozi huyo wa zamani anayetafutwa na ICC.
jeshi la Sudan chini ya generali Burhani limesema kiongozi huyo walimuhamisha mapema kumpeleka hospitali ya jeshi kweny ulinzi mkali. wakati huo huo upande wa generali Dagalo umesema jeshi hili limemtorosha ili kumrudisha madarakani.
Mmoja wa mahabusu hao wanaotafutwa na ICC aitwaye Ibrahim anasema baada ya gereza hilo kupigwa na makombora na kukosa huduma za chakula na maji ilibidi yeye na wenzake waondoke kwa ajili ya usalama wao..Hata hivyo hakumtaja Omar Albashir kuwa alikuwa miongoni mwao.Amesema yeye amependa ajisalimishe kwenye kituo chochote cha polisi lakini vituo vyote amekuta havifanyi kazi.
Video moja ya mtandaoni imewaonesha mahabusu hao wakiwa wamebeba mikoba yao kuingia mitaani baada ya gereza hilo kuvunjwa.
6bb1c6326a2f816fa06a0afee20e8d16
Jamaa yupo hai pamoja na wasaidizi wake waliokuwa wamefungwa wote gerezani. Baada ya vita kupamba moto kahamishiwa kwenye hospitali ya jeshi hapo hapo Khartoum
 
Rais Bashir hakua na mke wala mtoto, yeye aliwaza kuongoza nchi tu
 
Back
Top Bottom