Vituko:Ukiulizwa umepata wapi namba yangu unajibu nini?

Stavros Myles

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2020
Posts
350
Reaction score
390
Jamani jinsia hii ya ke ina mambo mazito mno, mtu tunajuana kwa sura tu na kwa bahati nzuri nimeinyaka namba yake hukoooo (.....mbali).

Tuna chat vizuri na convo inaendelea vizuri ila baada ya muda unakuta anakukazia
"namba yangu umeitoa wapi?, kakupa nani? ".

Sasa kama hataki ku chat na mimi si apotezee tu, tukijibu tume "hack" watajibu nini hawa watu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.

Anyway hili swali linaboa mno, ila naamini nikitoboa kama Mmiliki wa Bloomberg sitakuwa hata na muda wa kutafuta namba πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
unamjibu tu hivi

"mama ako alinipea wakati tunatoka church akisema nikusalimie manake upo upo hakuelewi eti"

au

"nimetoa.kwenye daftali la madeni la gengeni mtaani kwenu"

au

"nimetoa.kwenye group la malaya"

au

"number si yako ni ya vodacom/tigo/airtel nimetoa huko "

ongezea na wewe majibu makali makali ya wanaouliza umetoa wapu number yangu[emoji16]

Sent from my vivo X6D using JamiiForums mobile app
 
Reception Nida
 
Na wewe kwanini unaokota okota number za watu
 
Nilikuwa nasingizia kanipa yeye mwenyewe ikitokea kaniuliza Hilo swali,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…