Smart911
Platinum Member
- Jan 3, 2014
- 135,167
- 160,806
Na macho yako ya kurembea...Hhahaha sina dharau jaman
Nadeka tu kdogo😉
Na maneno yako ya kudeka Jamani Smart Sasa kwani unatakaje jamani...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na macho yako ya kurembea...Hhahaha sina dharau jaman
Nadeka tu kdogo😉
Asee katika mistake sitarudia tena ni hiiJamani jinsia hii ya ke ina mambo mazito mno, mtu tunajuana kwa sura tu na kwa bahati nzuri nimeinyaka namba yake hukoooo (.....mbali).
Tuna chat vizuri na convo inaendelea vizuri ila baada ya muda unakuta anakukazia
"namba yangu umeitoa wapi?, kakupa nani? ". Sasa kama hataki ku chat na mimi si apotezee tu, tukijibu tume "hack" watajibu nini hawa watu 😂😂😂😂.
Anyway hili swali linaboa mno, ila naamini nikitoboa kama Mmiliki wa Bloomberg sitakuwa hata na muda wa kutafuta namba 😂😂😂
Acha bas na wewe….Na macho yako ya kurembea...
Na maneno yako ya kudeka Jamani Smart Sasa kwani unatakaje jamani...
Zawadi nzuri za face to face...Acha bas na wewe….
Embu kuja piemu nina zawadi yako
Aya fanya mpango kesho uipitie ukiwa unarudi nyumbanZawadi nzuri za face to face...
Tutaenda kule kwanza tuliposema...Aya fanya mpango kesho uipitie ukiwa unarudi nyumban
Tena kesho weekend 😉
Utakuja kosa call ya interviewAsee katika mistake sitarudia tena ni hii
yaan asa hivi ikija namba mpya en sikufahamu ni block inakuhusu 🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾
Most watu wa namba mpya hawanaga good intentions!!!!
Sawa haina shidaTutaenda kule kwanza tuliposema...
That's my girl kazuri kenyewe...Sawa haina shida
Siwezi kukupinga
Hahahahah shindwa pepo!!Utakuja kosa call ya interview
Usipanie sasa hahhaahha maana nakujuaThat's my girl kazuri kenyewe...
Mwepesi wa kughairi au?Usipanie sasa hahhaahha maana nakujua
HapanaMwepesi wa kughairi au?
Dah! Poa tu. Ila ni vyema kujua shidaHahahahah shindwa pepo!!
Ila nasemea hawa mfano lijitu linakuchek unaliuliza linakujibu eti utanijua taratibuu hivi sijuwi yanawazaga nini
Hahahahaha nishakuelewa... Pole pole ndiyo mwendo...Hapana
Usije ukaniwuwaaa lol si unaelewa tena
Kumbe ushanisoma eee…..Hahahahaha nishakuelewa... Pole pole ndiyo mwendo...
Kwanza umepata wapi number yangu...Kumbe ushanisoma eee…..
Usije ukaongeza speed sasa
😁😁😁usifanye hivo bas jamanKwanza umepata wapi number yangu...
Sawa mrembo...😁😁😁usifanye hivo bas jaman
Kesho twende tukale birianiSawa mrembo...