Vituko:Ukiulizwa umepata wapi namba yangu unajibu nini?

Yani tunajuana alf unaniuliza namba nmetoa wapi, mi huwa naiibu "kama hutaki mawasiliano na mm sema sio unaniuliza namba nmetoa wapi"

Short Clear.
 
Jamani jinsia hii ya ke ina mambo mazito mno, mtu tunajuana kwa sura tu na kwa bahati nzuri nimeinyaka namba yake hukoooo (.....mbali).

Tuna chat vizuri na convo inaendelea vizuri ila baada ya muda unakuta anakukazia
"namba yangu umeitoa wapi?, kakupa nani? ".

Sasa kama hataki ku chat na mimi si apotezee tu, tukijibu tume "hack" watajibu nini hawa watu 😂😂😂😂.

Anyway hili swali linaboa mno, ila naamini nikitoboa kama Mmiliki wa Bloomberg sitakuwa hata na muda wa kutafuta namba 😂😂😂
Ila ni kweli ulipewa na nani namba yake?
 
Jamani jinsia hii ya ke ina mambo mazito mno, mtu tunajuana kwa sura tu na kwa bahati nzuri nimeinyaka namba yake hukoooo (.....mbali).

Tuna chat vizuri na convo inaendelea vizuri ila baada ya muda unakuta anakukazia
"namba yangu umeitoa wapi?, kakupa nani? ".

Sasa kama hataki ku chat na mimi si apotezee tu, tukijibu tume "hack" watajibu nini hawa watu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].

Anyway hili swali linaboa mno, ila naamini nikitoboa kama Mmiliki wa Bloomberg sitakuwa hata na muda wa kutafuta namba [emoji23][emoji23][emoji23]
Unajibu Nimeitafuta Kuna mtu kanipatia ila nimemsahau umepita muda kidogo toka anipe
 
Rahisi tu! weye Mwambie hivi ulinipa weye mwenyewe siku ileee kwenye daladala... kwani umeshahu mara hii tu? hapo kwa kujikosha utasikia alaaah! kumbe ni wewe??,,nimekukumbuka samahani,,si unajua tena kazi zetu hizi mara ivi mara vile!!

ataendelea enhee!! lete habari!!
 
Yani tunajuana alf unaniuliza namba nmetoa wapi, mi huwa naiibu "kama hutaki mawasiliano na mm sema sio unaniuliza namba nmetoa wapi"

Short Clear.
Mbususu invoita unaijibu ivo?... utaikosaaa! hiyo!
 
Hahhahaah sawa. Amina
Namba unabidi kutoa kumuuliza mtu habari za namba yangu umetoa wapi utapishana na bahati Kuna mjinga mmoja Mwanamke alipigiwa simu ya kwenda kufanya Kazi baada ya kufaulu interview at the end kawa fainted hearted.
 
Jamani jinsia hii ya ke ina mambo mazito mno, mtu tunajuana kwa sura tu na kwa bahati nzuri nimeinyaka namba yake hukoooo (.....mbali).

Tuna chat vizuri na convo inaendelea vizuri ila baada ya muda unakuta anakukazia
"namba yangu umeitoa wapi?, kakupa nani? ".

Sasa kama hataki ku chat na mimi si apotezee tu, tukijibu tume "hack" watajibu nini hawa watu 😂😂😂😂.

Anyway hili swali linaboa mno, ila naamini nikitoboa kama Mmiliki wa Bloomberg sitakuwa hata na muda wa kutafuta namba 😂😂😂
Nikiulizwa najibu nmeiokota
 
Back
Top Bottom