Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wanatuhadaa na tu text twao 😂😂Naona huu uzi umekuwa ndio piemu ya watu wawili.....
Ila ni kweli ulipewa na nani namba yake?Jamani jinsia hii ya ke ina mambo mazito mno, mtu tunajuana kwa sura tu na kwa bahati nzuri nimeinyaka namba yake hukoooo (.....mbali).
Tuna chat vizuri na convo inaendelea vizuri ila baada ya muda unakuta anakukazia
"namba yangu umeitoa wapi?, kakupa nani? ".
Sasa kama hataki ku chat na mimi si apotezee tu, tukijibu tume "hack" watajibu nini hawa watu 😂😂😂😂.
Anyway hili swali linaboa mno, ila naamini nikitoboa kama Mmiliki wa Bloomberg sitakuwa hata na muda wa kutafuta namba 😂😂😂
Alichokupa Mungu usikiwekee choyoHahahahah shindwa pepo!!
Ila nasemea hawa mfano lijitu linakuchek unaliuliza linakujibu eti utanijua taratibuu hivi sijuwi yanawazaga nini
Hahhahaah sawa. AminaAlichokupa Mungu usikiwekee choyo
[emoji23][emoji23][emoji23] jamaa Domo zegeNa wewe kwanini unaokota okota number za watu
Unajibu Nimeitafuta Kuna mtu kanipatia ila nimemsahau umepita muda kidogo toka anipeJamani jinsia hii ya ke ina mambo mazito mno, mtu tunajuana kwa sura tu na kwa bahati nzuri nimeinyaka namba yake hukoooo (.....mbali).
Tuna chat vizuri na convo inaendelea vizuri ila baada ya muda unakuta anakukazia
"namba yangu umeitoa wapi?, kakupa nani? ".
Sasa kama hataki ku chat na mimi si apotezee tu, tukijibu tume "hack" watajibu nini hawa watu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Anyway hili swali linaboa mno, ila naamini nikitoboa kama Mmiliki wa Bloomberg sitakuwa hata na muda wa kutafuta namba [emoji23][emoji23][emoji23]
Mbususu invoita unaijibu ivo?... utaikosaaa! hiyo!Yani tunajuana alf unaniuliza namba nmetoa wapi, mi huwa naiibu "kama hutaki mawasiliano na mm sema sio unaniuliza namba nmetoa wapi"
Short Clear.
Namba unabidi kutoa kumuuliza mtu habari za namba yangu umetoa wapi utapishana na bahati Kuna mjinga mmoja Mwanamke alipigiwa simu ya kwenda kufanya Kazi baada ya kufaulu interview at the end kawa fainted hearted.Hahhahaah sawa. Amina
Nikiulizwa najibu nmeiokotaJamani jinsia hii ya ke ina mambo mazito mno, mtu tunajuana kwa sura tu na kwa bahati nzuri nimeinyaka namba yake hukoooo (.....mbali).