Vituko:Ukiulizwa umepata wapi namba yangu unajibu nini?

Vituko:Ukiulizwa umepata wapi namba yangu unajibu nini?

Jamani jinsia hii ya ke ina mambo mazito mno, mtu tunajuana kwa sura tu na kwa bahati nzuri nimeinyaka namba yake hukoooo (.....mbali).

Tuna chat vizuri na convo inaendelea vizuri ila baada ya muda unakuta anakukazia
"namba yangu umeitoa wapi?, kakupa nani? ". Sasa kama hataki ku chat na mimi si apotezee tu, tukijibu tume "hack" watajibu nini hawa watu 😂😂😂😂.

Anyway hili swali linaboa mno, ila naamini nikitoboa kama Mmiliki wa Bloomberg sitakuwa hata na muda wa kutafuta namba 😂😂😂
Asee katika mistake sitarudia tena ni hii

yaan asa hivi ikija namba mpya en sikufahamu ni block inakuhusu 🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾

Most watu wa namba mpya hawanaga good intentions!!!!
 
Asee katika mistake sitarudia tena ni hii

yaan asa hivi ikija namba mpya en sikufahamu ni block inakuhusu 🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾

Most watu wa namba mpya hawanaga good intentions!!!!
Utakuja kosa call ya interview
 
Back
Top Bottom