ukikaidi utapigwa2
JF-Expert Member
- Feb 24, 2015
- 15,265
- 29,991
Maswali mengi bila majibu, alie lipia uwanja ni nani?Pre match meeting ilifanyika?
Sababu za TFF kusema mechi ichezwe chamazi ni nini?ama hazikutolewa?
Waamuzi walioenda kichezesha walienda wapi? kama walikuwa chamazi,kwa nini walikuwa huko?
Viongozi wa JKT walikataa lini kwenda chamazi,leo ama tangu jana kwenye kikao cha pre match?
Siyo TFF tu, Watanzania tuna tatizo:TFF wanakuwaga wapuuzi sana muda mwingine, huo mchezo waliujua siku nyingi kwamba utafanyika uwanja wa isamhuyo na kwenye ratiba ilijulikana ivyo kwanini waamishe mechi siku moja kabla?
Wana ajenda Gani ya Siri hapo? Jkt nawapongeza kwa msimamo wao wanajua wako kwenye haki TFF waache kutumika kijingajinga na vita ninayoiona hapo ni inatakiwa jkt wadondoshe point ili Simba azidi kwenda juu kuwarahisishia ubingwa hii aikubaliki!
Kuna tetesi uwanja wa jkt ulifungiwaPre match meeting ilifanyika?
Sababu za TFF kusema mechi ichezwe chamazi ni nini?ama hazikutolewa?
Waamuzi walioenda kichezesha walienda wapi? kama walikuwa chamazi,kwa nini walikuwa huko?
Viongozi wa JKT walikataa lini kwenda chamazi,leo ama tangu jana kwenye kikao cha pre match?
na CAF pamoja na FIFA, maana wameipendelea kucheza michuano ya AFL na vilabu bingwa vya dunia. Cha ajabu Rais wetu Hersi ndio Rais wa vilabu vyote Afrika, wala hata hapingi hilo, ndio kwanza anapitisha agenda na maamuzi ya kuiteua Simba. Hana msaadaSimba ndo mtoto pendwa wa TFF.
Vilabu vya pombe labdana CAF pamoja na FIFA, maana wameipendelea kucheza michuano ya AFL na vilabu bingwa vya dunia. Cha ajabu Rais wetu Hersi ndio Rais wa vilabu vyote Afrika, wala hata hapingi hilo, ndio kwanza anapitisha agenda na maamuzi ya kuiteua Simba. Hana msaada
Rage alikua na maono sana.Vilabu vya pombe labda
Kwa sababu fyongo kafanya simba eenh. Kwanini wagawane pwenti na sio Simba kupokwa ?Wagawane pwenti...
WW ndo msemaji wao?Kwa sababu fyongo kafanya simba eenh. Kwanini wagawane pwenti na sio Simba kupokwa ?
Usitegemee lolote la maana zaidi ya kubalance mambo jana Simba Queens waneingia uwanjani na waamuzi taratibu zote zikafuatwa maana yake ni kwamba walitakiwa wapewe points 3 na magoli 3, kwenye page ya TFF mchezo umeandikwa cancelled maana yake ni kwamba hata wao hawajui sheria inasemajeNasubiri TFF waniletee taarifa mezani ndio nitoe maoni
Umeweka mahaba. Kwa hiyo Simba ndio imejipangia uwanja, ikaketa refa, ikaweka venue kwenye vyanzo vya TFF, ikafanya pre-match.Kwa sababu fyongo kafanya simba eenh. Kwanini wagawane pwenti na sio Simba kupokwa ?
Wanasema sababu za kiusalama Azam wanashindwa kuchukua matangazo vizuri. Hivi kama JKT walichezea Azam Complex shida ingekuwa wapi maana ni neutral ground. Au wangekuja kusimama tu wao wasingecheza? Naona wameleta taharuki ya kiUtopoloHakija wahi kufungiwa
TFF wana changia kuleta hii sintofahamu kwenye ratiba wanaonyesha mechi itachezwa Isamujo waamuzi wakapekwa chamazi, Simba nao sio wajinga kwenda chamazi ina maana walijua mechi ipo chamaziWanasema sababu za kiusalama Azam wanashindwa kuchukua matangazo vizuri. Hivi kama JKT walichezea Azam Complex shida ingekuwa wapi maana ni neutral ground. Au wangekuja kusimama tu wao wasingecheza? Naona wameleta taharuki ya kiUtopolo