Vituko vingine vimetokea ligi ya wanawake Tanzania

Vituko vingine vimetokea ligi ya wanawake Tanzania

Pre match meeting ilifanyika?
Sababu za TFF kusema mechi ichezwe chamazi ni nini?ama hazikutolewa?
Waamuzi walioenda kichezesha walienda wapi? kama walikuwa chamazi,kwa nini walikuwa huko?
Viongozi wa JKT walikataa lini kwenda chamazi,leo ama tangu jana kwenye kikao cha pre match?
Maswali mengi bila majibu, alie lipia uwanja ni nani?
 
TFF wanakuwaga wapuuzi sana muda mwingine, huo mchezo waliujua siku nyingi kwamba utafanyika uwanja wa isamhuyo na kwenye ratiba ilijulikana ivyo kwanini waamishe mechi siku moja kabla?

Wana ajenda Gani ya Siri hapo? Jkt nawapongeza kwa msimamo wao wanajua wako kwenye haki TFF waache kutumika kijingajinga na vita ninayoiona hapo ni inatakiwa jkt wadondoshe point ili Simba azidi kwenda juu kuwarahisishia ubingwa hii aikubaliki!
Siyo TFF tu, Watanzania tuna tatizo:

Timu hazikufanya pre-match meeting? Kama zilifanya basi uwanja uliopangwa ndo ulipaswa kutumika. Points 3 za bure
 
Pre match meeting ilifanyika?
Sababu za TFF kusema mechi ichezwe chamazi ni nini?ama hazikutolewa?
Waamuzi walioenda kichezesha walienda wapi? kama walikuwa chamazi,kwa nini walikuwa huko?
Viongozi wa JKT walikataa lini kwenda chamazi,leo ama tangu jana kwenye kikao cha pre match?
Kuna tetesi uwanja wa jkt ulifungiwa
 
Simba ndo mtoto pendwa wa TFF.
na CAF pamoja na FIFA, maana wameipendelea kucheza michuano ya AFL na vilabu bingwa vya dunia. Cha ajabu Rais wetu Hersi ndio Rais wa vilabu vyote Afrika, wala hata hapingi hilo, ndio kwanza anapitisha agenda na maamuzi ya kuiteua Simba. Hana msaada
 
Nasubiri TFF waniletee taarifa mezani ndio nitoe maoni
Usitegemee lolote la maana zaidi ya kubalance mambo jana Simba Queens waneingia uwanjani na waamuzi taratibu zote zikafuatwa maana yake ni kwamba walitakiwa wapewe points 3 na magoli 3, kwenye page ya TFF mchezo umeandikwa cancelled maana yake ni kwamba hata wao hawajui sheria inasemaje
1704874243871.jpg
 
Kwa sababu fyongo kafanya simba eenh. Kwanini wagawane pwenti na sio Simba kupokwa ?
Umeweka mahaba. Kwa hiyo Simba ndio imejipangia uwanja, ikaketa refa, ikaweka venue kwenye vyanzo vya TFF, ikafanya pre-match.
 
Hakija wahi kufungiwa
Wanasema sababu za kiusalama Azam wanashindwa kuchukua matangazo vizuri. Hivi kama JKT walichezea Azam Complex shida ingekuwa wapi maana ni neutral ground. Au wangekuja kusimama tu wao wasingecheza? Naona wameleta taharuki ya kiUtopolo
 
TFF wana changia kuleta hii sintofahamu kwenye ratiba wanaonyesha mechi itachezwa Isamujo waamuzi wakapekwa chamazi, Simba nao sio wajinga kwenda chamazi ina maana walijua mechi ipo chamazi
JamiiForums-1042954533.jpg
 
Back
Top Bottom