ukikaidi utapigwa2
JF-Expert Member
- Feb 24, 2015
- 15,265
- 29,991
Maswali mengi bila majibu, alie lipia uwanja ni nani?Pre match meeting ilifanyika?
Sababu za TFF kusema mechi ichezwe chamazi ni nini?ama hazikutolewa?
Waamuzi walioenda kichezesha walienda wapi? kama walikuwa chamazi,kwa nini walikuwa huko?
Viongozi wa JKT walikataa lini kwenda chamazi,leo ama tangu jana kwenye kikao cha pre match?