k-bee
JF-Expert Member
- Aug 30, 2017
- 966
- 1,084
- Thread starter
- #21
Na ndio dhumuni kuu la UZI huu.....kuona changamoto wapi ndugu zetu wa bongo movie wanakosea waweke sawaMi sina wivu na kazi zenu mkuu kwa sababu sina ndoto ya kuingia huko, ila kuwasema hivi sio kwa ubaya ni ili mrekebishe na hatimae muanze kufanya vzr hadi kimataifa bosi