Vituko vya bongo movie

Vituko vya bongo movie

Mi sina wivu na kazi zenu mkuu kwa sababu sina ndoto ya kuingia huko, ila kuwasema hivi sio kwa ubaya ni ili mrekebishe na hatimae muanze kufanya vzr hadi kimataifa bosi
Na ndio dhumuni kuu la UZI huu.....kuona changamoto wapi ndugu zetu wa bongo movie wanakosea waweke sawa
 
Mtoto wa maskini atapendwa na mtoto wa tajiri kisha wataoana
Hapo tu ndio wananifurahishaga....haijawahi kutokea mtoto wa maskin n maskin mwenzake wameona na wakatusua maisha [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
JAMBAZI kavamia nyumba lakin kavua viatu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
POLISI kaingia kumkamata mtuhumiwa ndan ya nyumba naye kavua viatu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

JAMBAZI anakamatwa kiulain hata kijiko tu au glass haipasuki [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Bint anakamatika kama anamimba kwa kutaka kutapika mbele ya wagen
 
Jini anakagua vyumba kutafuta watu....!!!
 
Back
Top Bottom