Na ndio dhumuni kuu la UZI huu.....kuona changamoto wapi ndugu zetu wa bongo movie wanakosea waweke sawaMi sina wivu na kazi zenu mkuu kwa sababu sina ndoto ya kuingia huko, ila kuwasema hivi sio kwa ubaya ni ili mrekebishe na hatimae muanze kufanya vzr hadi kimataifa bosi
ππππ€£π€£π€£Mzuka umeingia ndan ukiwa umevaa saa halafu unawashangaa uliowakuta [emoji23][emoji23][emoji23]....Daaah hapa ni hatar na nusuView attachment 2435791
Imeisha hiyoMtoto wa maskini atapendwa na mtoto wa tajiri kisha wataoana