Vituko vya bongo movie

Vituko vya bongo movie

k-bee

JF-Expert Member
Joined
Aug 30, 2017
Posts
966
Reaction score
1,084
Rejea kichwa hii thread itazungumzia vituko(kasoro za uigizaji) vinavyopatikana katika filamu za kibongo ili kuweza kutambua makosa yao na kuboresha zaidi. Ukiweka na picha itapendeza zaid na kunogesha kile kilichokushangaza...!
 
Mzuka umeingia ndan ukiwa umevaa saa halafu unawashangaa uliowakuta [emoji23][emoji23][emoji23]....Daaah hapa ni hatar na nusu
JamiiForums260823556.jpg
 
Here we go
 
Attachments

  • 346730951a2f43a3a303e2c325f936ab.jpg
    346730951a2f43a3a303e2c325f936ab.jpg
    118 KB · Views: 33
1-Kwenye maneno ya kiingereza yanayopita pale chini huwa wanajichanganya vibaya sana, mi pamoja na inglishi yangu ya ugoko lakini siwezi kuandika upumbavu ule

2- Binti aliyezaliwa familia ya kitajiri anashinda kavaa vikaptura vifupi mbele ya baba yake halafu maneno mawili la tatu kiingereza, kama kwenye hyo picha Ray ndio steringi na anatokea familia ya kimaskini basi lazima binti atampenda wataoana

3- Kwa mganga lazima kuwe ni porini wakati waganga wa siku hizi wanaishi mjini kwenye nyumba za bati la msauzi, halafu mganga anaongea kwa kufoka sana

4- Jini anatokea kavaa jezi ya Arsenal halafu wakati wa kuvuka barabara anaangalia kushoto na kulia halafu kushoto tena kisha anavuka huku anakimbia kuogopa kugongwa na bodaboda [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

5- Jambazi eti lazima avae koti refu na miwani ya jua hata kama ni usiku [emoji1787][emoji1787][emoji1787].....unakuta amemshikia mtu kisu halafu anamwambia usiniletee mchezo mimi nitakupiga risasi, sasa sijui kisu kinatoa risasi

6- Kahaba anaejiuza eti lazima avute sigara kwa fujo na ka glasi ka wine kumbe ameweka Mirinda nyeusi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

7- Mtu anazikwa kavishwa suti safi kabisa, lakini akianza kuwatokea watu kama mzimu anakuwa kavaa kanzu nyeupe, sasa sijui ile suti kaiuza [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

8- Kitu pekee ambacho wabongo muvi huwa wanavunja ni glasi tu, huwezi kukuta kapasua Tv [emoji1787][emoji1787]

9- Akitaka kuwaza au kusimulia jambo lazima aangalie juu [emoji1787][emoji1787][emoji1787], na jambo hata kama ni la miaka 16 iliyopita eti inaonekana picha ya Rais dokta Sir~100 [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Rejea kichwa hii thread itazungumzia vituko(kasoro za uigizaji) vinavyopatikana katika filamu za kibongo ili kuweza kutambua makosa yao na kuboresha zaidi. Ukiweka na picha itapendeza zaid na kunogesha kile kilichokushangaza...!
Bongo move ni kama majibizano ya mashairi, hakuna uhalisia, kiukweli imepoteza mvuto kwa watazamaji
 
1-Kwenye maneno ya kiingereza yanayopita pale chini huwa wanajichanganya vibaya sana, mi pamoja na inglishi yangu ya ugoko lakini siwezi kuandika upumbavu ule

2- Binti aliyezaliwa familia ya kitajiri anashinda kavaa vikaptura vifupi mbele ya baba yake halafu maneno mawili la tatu kiingereza, kama kwenye hyo picha Ray ndio steringi na anatokea familia ya kimaskini basi lazima binti atampenda wataoana

3- Kwa mganga lazima kuwe ni porini wakati waganga wa siku hizi wanaishi mjini kwenye nyumba za bati la msauzi, halafu mganga anaongea kwa kufoka sana

4- Jini anatokea kavaa jezi ya Arsenal halafu wakati wa kuvuka barabara anaangalia kushoto na kulia halafu kushoto tena kisha anavuka huku anakimbia kuogopa kugongwa na bodaboda [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

5- Jambazi eti lazima avae koti refu na miwani ya jua hata kama ni usiku [emoji1787][emoji1787][emoji1787].....unakuta amemshikia mtu kisu halafu anamwambia usiniletee mchezo mimi nitakupiga risasi, sasa sijui kisu kinatoa risasi

6- Kahaba anaejiuza eti lazima avute sigara kwa fujo na ka glasi ka wine kumbe ameweka Mirinda nyeusi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

7- Mtu anazikwa kavishwa suti safi kabisa, lakini akianza kuwatokea watu kama mzimu anakuwa kavaa kanzu nyeupe, sasa sijui ile suti kaiuza [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

8- Kitu pekee ambacho wabongo muvi huwa wanavunja ni glasi tu, huwezi kukuta kapasua Tv [emoji1787][emoji1787]

9- Akitaka kuwaza au kusimulia jambo lazima aangalie juu [emoji1787][emoji1787][emoji1787], na jambo hata kama ni la miaka 16 iliyopita eti inaonekana picha ya Rais dokta Sir~100 [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Umetisha sana..ila picha ingekuwepo ungekuwa umetisha zaid
 
We jamaa una wivu na kazi zetu.
 
Mtoto wa maskini atapendwa na mtoto wa tajiri kisha wataoana
 
Attachments

  • 8-1661109073871.jpg
    8-1661109073871.jpg
    182.9 KB · Views: 25
Back
Top Bottom